Nini kitatokea serikali ikiamua kugawa mpunga kwa kila raia.

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,904
9,740
Wakuu hususani nyie wajuvi wa ikonomiki na uchumi kutakuwa na athari zozote kiuchumi mathalani kila mtu akigaiwa Tzs Milioni Mbili, Je zoezi hilo litacompromise mzunguko wa fedha anyhow?
Anxious to learn...Makinikia ya comment ruksa pia
*MPUNGA = FEDHA
 
Serikali ya nani hiyo?! Unacheza weye! haigawi chakula kwa wenye njaa sembuse mpunga!
 
Back
Top Bottom