Wazo chanya +

Wazo chanya +

mnoel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
212
Reaction score
98
Hizi programme za serikali kusema haifukui makuburi, kwa kuwaacha walaji wa billions of money wanakula bata tu mtaani kwanini basi makaburi yetu ya HESLB yanafukuliwa.... tena kwa nguvu kubwa na picha wanaweka? Hyo mikakati mikali wanayoipanga dhidi ya watoto wa wakulima hawa kwanini wasiitumie kudhibiti hawa (world class parasites) waliotufikisha hapa tulipo? Mtu unafanya kazi mshahara laki 8... inapgwa panga then upande wa pili kwa mapapa wanatoa simple statements tu eti hawafukui makaburi.... inatia hasira[emoji16]
 
kuna uzi unauliza wanyonge ni akina nani...
"msichana mrembo asiye na uangalizi, usaidizi, maarifa au kipato anapotumiwa na wanaume wakware pale wanachukuliwa matatizo na changamoto zinazomkabili kama nukta ya udhaifu wake...
huyu binti anawakilisha unyonge"
huyu binti anawakilisha watanzania wengi watu wana ROHO MBAYA SANA DUNIANI UTADHANI HAWAFI
 
Hapo ndipo utajua kwanini ulizaliwa Bongo badala ya ulaya.

[HASHTAG]#BBM[/HASHTAG]
 
Hizi programme za serikali kusema haifukui makuburi, kwa kuwaacha walaji wa billions of money wanakula bata tu mtaani kwanini basi makaburi yetu ya HESLB yanafukuliwa.... tena kwa nguvu kubwa na picha wanaweka? Hyo mikakati mikali wanayoipanga dhidi ya watoto wa wakulima hawa kwanini wasiitumie kudhibiti hawa (world class parasites) waliotufikisha hapa tulipo? Mtu unafanya kazi mshahara laki 8... inapgwa panga then upande wa pili kwa mapapa wanatoa simple statements tu eti hawafukui makaburi.... inatia hasira[emoji16]
Kidumu chama cha mapinduziiii
 
Kuna watu waliotukuka kwa wizi hapa nchini wanadundadunda mtaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom