Hivi ni kwanini kila kukicha tu Watanzania tunalalamika kuwa maisha ni magumu na wengi wetu kuitupia lawama Serikali / Watawala kuwa ndiyo sababu Kuu ya Umasikini tulionao wengi wetu lakini hapo...
Kuna Staff Mwenzangu Aliandamwa Na Kesi Fulani Ikamlazimu Aombe Ruhusa Mara Kwa Mara Akanyimwa Na Ilikuwa Muhimu Atoke Kituoni Akaondoka Hatimae Akashinda Kesi Aliporudi Ofisa Kaenda Mchongea Kuwa...
Kwema wakuu.
Fedha za dhamana ambazo hutolewa ili mtuhumiwa asikae rumande yaani apate dhamana huwa zinaelekezwa kwenye mtumizi gani Na je ni chombo gani ambacho huwa kinashughulikia matumizi ya...
Mkimbizi mmoja kutoka Burundi, Bella Nshimirimana amepata tuzo ya kuwa mwanamke mkimbizi bora nchini Uganda kwa mwaka 2017, kutokana na mchango wake katika masuala mbalimbali yenye tija kwake...
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed 10 new judges to be stationed at the High Court of Tanzania. A statement released today by the Acting Chief Secretary, Mr George Yambesi, revealed that the...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wataalamu wa afya wameweza kuelezea mambo mabali mbali yanayoweza kuchangia mtu yeyote kupata watoto mapacha. Mbali na hilo kuna aina ya wanawake...
Huu ni wajibu wao, kwani wanalipwa kufanya kazi hizi.National Bureau of Statistics watueleze mapema kabisa kwamba ni vijana wangapi wanaopoteza nguvu kazi kwenye betting, itasaidia serikali kuweza...
Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha.
"Mzee na Mama wote wamelazwa...
MCHAWI AKAMATWA DAR NA KUUAWA LIVE BAADA YA KUDONDOKA NA UNGO
December 23, 2013
WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya...
Mishipa yote ya damu kwenye mwili wa mwandamu kama ingepangwa katika mstari mmoja, inaweza kufukia urefu wa maili 60,000.
Hii ni sawa na kilometa takribani 96,000.
.............
ZABURI 139:14...
Ubora wa mwanafunzi upo kwenye ubongo wake na si kwenye vyeti vyake,Ajira ya graduate ipo kichwani kwake na sio serikali yake.
Mwanachuo aliyesomea cheti anaweza kununua smart phone yenye...
Nikiwa ndani ya Mwendo Kasi maeneo ya Mahakama niliona wazee wa EAC
Mulioko maeneo hayo tujuzeni kama wazee wetu hao wamepewa haki yao leo baada ya 40 yrs.
Wanajamvi naombeni msaada wa kufikisha malalamiko yangu kwa wakuu hawa, kutokana na kitendo cha kinyama kilichofanywa na Afisa elimu S/M.
Mke wangu amekuwa akiomba uhamisho toka mwaka 2014...
Wakuu habarini za wakati huu,
Kuna swali ambalo nimekuwa najiuliza sana na nimekosa jibu na hili nadhani naweza kupata jibu hapa kwenu wakuu maana hapa hakuna kinachoweza kuharibika.
Kimsingi...
Kijana Paulo Ezekiel, amejinyonga kutokana na kile kinachodaiwa ugumu wa maisha.
Paulo (17) alikuwa anaishi na wazazi wake Mtaa wa Mazinge Kata ya Ndembezi mjini Shinyanga, alifariki dunia juzi...
Habari za asubuhi Wahariri, Jukwaa la Wahariri (TEF) litakuwa na Press Conference kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la Mawio itakayofanyika leo kuanzia Saa 05:00 asubuhi katika Hotel ya Sapphire...
Huu ndio ukweli mchungu,wapiga mizinga wengi sio kwamba wana shida sana hapana ila ni mazoea ambayo wamejijengea kuwa maisha yao hayaendi bila mtu fulani ndio maana akikuomba pesa leo ukimpa basi...
Wanabodi,
Benki ya CRDB ndio benki yenye huduma bora Tanzania kuliko benki nyingine yoyote, imeendeleo kuonyesha kuwajali Watanzania ambapo Menejmenti na Wafanyakazi wa CRDB Bank Tawi la Azikiwe...