Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jacob Mushi: PATA NAKALA YAKO BURE LEO UMUHIMU WA MAONO- KITABU... PATA NAKALA YAKO BURE LEO UMUHIMU WA MAONO- KITABU APRIL - Jacob Mushi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mulioko Mbeya nawasalimu na baada ya hizo salaamu niwaulize kama kuna anayejuwa ni wapi nitapata nyumba ya kupanga hapo city centre...nahitaji two bed rooms...living rooom toilets etc yaani SELF...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Police wajifunze maana kamili ya uti wa shuriti bila sheria , wasitumie kauli hiyo kunyanyasa na kudhalilisha. Heko saana Mwigulu Nchemba waziri husika. Mnazidi kuifanya serikali hii makini kuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kauli ya Mama Mzazi kwa bintiye wa Darasa la Saba akiwa ndio anarejea kutoka Shule siku ambayo binti alipaswa kufanya Mtihani. Na nukuu, Mama, ".... Marahabaa mwanangu, Pole kwa Uchovu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hbr wana jf. mim nilikua nahitaji kujua kuhusu suala la diploma kupewa mkopo limeshapitishwa ?. au bdo. mana bi ndali alipeleka pendekezo lijadiliwe bungen. please kwa yeyote anaejua full infor...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la polisi wilaya na mkoa wa Lindi limefanikiwa kufyeka na kuteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari mbili,na kukamata lita 177 za pombe haramu aina ya gongo na kuwashikilia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Timu iliyoundwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuchunguza tuhuma za wizi wa mtoto pacha katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kutokana na Mzunguko wa Jua la Utosi (The Overhead Sun, ingawa kiuhalisia sio Jua linalozunguka juu ya uso wa Dunia), Jua la Utosi liko maeneo ya kusini mwa mstari wa IKWETA, kwa maana nyingine...
1 Reactions
2 Replies
21K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema kwa kutufanikisha kuiona tena siku ya leo,pili niwashukuru wana JF wote ambao wamekuwa wakichangia mada mbali mbali ili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Utafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Msomi aliyekata tamaa ni msomi mdhaifu aliyebakwa na elimu yake ,msomi asiyejitambua ni msomi aliyevunda ambaye amepaka manukato elimu yake kwenye vyeti vyake ili anukie elimu wakati amevunda na...
1 Reactions
6 Replies
844 Views
Wanawake wa kiislam mnaovaa hijabu na kujifunika na mikanga hadi chumbani mkiwa na waume zenu mnaonywa kua huo ni upumbavu. Angalieni mawaidha ya Sheikh.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Baada ya maslahi ya watumishi kutopandishwa kwa muda mrefu, na wengi wao wakiwa katika vitengo wasivyoweza kula kwa urefu wa kamba zao; watumishi wengi wamekuwa wakiibia muda serikali au waajiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Have you ever noticed this rare coincidence of somehow similar names which may not happen again on earth? 1. Janeth Kaguta Museveni; Current First Lady, Uganda, East Africa 2. Janeth Paul Kagame...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Kwa Ufisadi na Uhujumu Uchumi huu wa hawa akina Harbinder Seth na James Rugemalira ambao kimsingi ulitokea wakati wa awamu ya nne ( 4 ) sasa nimeshapata jawabu langu la kwanini Wabunge wengi wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakika Allah akupe maisha marefu Zaidi ili uendelee kuitetea Tanzania yenye Usawa. #Naiona_Tanzania_yenye_maendeleo_2025.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimejaribu kusoma maandiko mbali mbali mitandaoni wengi wakifurahia kukamatwa kwa Seth na Rugemalira, wengi wakaenda mbali zaid kumpongeza mh. nkajiuliza wengine wako wapi? Ripot ya Bunge...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau Nimegundua Kila Binadamu Anapata Uchungu Sana Hasa Akitendewa Vitendo Vya Kinyanyasaji Hasa Maofisini Matokeo Yake Atakuombea Mabaya Yakufike Hasa Ajali Itakayotoa Uhai Wako Ama Kutoa Ini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…