Wana Jamvi salama.
Naomba kwanza nianze na kumshukuru Mungu kwa kuweza kunifanya kuwa hai mpaka sasa.
Baada ya hapo niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hapa nchini kumekuwa na utaratibu wa...
Mtu mmoja afariki dunia kwa kukatwa katwa mapanga akiwa katika club ya pombe iitwayo monde iliyopo mkoani mbeya . mtu huyo mwenye umri wa miaka30 ameuawa kikatili,
Tukio la pili mwanamke mmoja...
NASHAURI TU........DC UBUNGO AHAMISHIWE KIBITI
Huyu DC wa sasa wa Ubungo kwa 'intelijensi' aliyonayo ya kutambua kuwa mzee Sumaye, Meya wa Ubungo aliyechaguliwa na wananchi pamoja na viongozi...
Watoto wawili wafariki kwa kula boga lenye sumu
Wilayani kiteto mkoani manyara, mmoja ni wa kiume umri miaka 8, wa pili ni wa kike mwenye miaka8, wawili walionusurika wakilazwa hospitalini...
DAWASCO kateni maji hata kama ni Ikulu..Haya ni maneno yalisemwa na raisi wetu JPM,
Matumaini DAWASCO hawatakuwa na visingizio tena kwamba watu hawalipi bills zao tena, Raisi Magufuli anajua...
DC HAPI AANZA UTATUZI MGOGORO WA ARDHI MABWEPANDE,
MBOPO,MJI MPYA
*ATOA SIKU 30 MASHAMBA YOTE KUHAKIKIWA
*AWATAKA WANAOTISHIA WENZAO AMANI KUSAKWA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ally Hapi...
Wadau wameshawaulizeni sana hili suala hamtoi majibu ya kueleweka.
Kwanini Taasisi ya serikali ambao mlipaswa kupromote matumizi ya local currency mnawakandamiza watanzania kwa kutoza ada kwa...
Wananchi mkoani Songwe wanakabiliwa na uhaba wa sukari ambayo inadaiwa kuadimika madukani kwa zaidi ya wiki nne hali inayowalazimu kununua sukari ya magendo kutoka Zambia na Malawi inayoingizwa...
Katika hali isiyo ya kawaida kuna kumekuwepo na ujanja ujanja unaotumiwa na baadhi ya mahakama na mahakimu kumpatia kosa mtuhumiwa la kutofika mahakamani ili iwe kisingizio cha kumtia ndani...
Habari wana Jamii Forum, leo nimeona nivema nikaweka mawazo yangu kwenye jukwaa hili, hii ni kutokana na ukweli kwamba baadhi ya watendaji waliopewa dhamana na serikali yetu kusimamia taasisi...
Please share with your networks. May help someone.
*FULL LIST OF SCHOLARSHIPS FOR AFRICAN UNDERGRADUATE AND POSTGRADUATE STUDENTS 2017/2018*
1a. 2017/2018 Fully Funded Scholarships – APPLY NOW...
Wakuu nawasalimu.
Poleni kwa majukumu ya kila siku pamoja na harakati za kupambana na makinikia yetu.
Naomba nisiwapotezee muda kwa hadithi ndefu. Nimepoteza hati ya kiwanja naomba msaada wa...
Kupitia ITV Tanzania, tumemsikia Filbert Bay akishangaa na kulalamika kutokuzawadiwa medali ya dhahabu na Malkia baada ya kushinda na kuvunja rekodi ya mbio za 1500, mwaka 1974, mashindano ya...
Hivi kwanini wanawake ukishawaoa huwa hawajitumi tena...hata mechi kupewa unapewa kwa machale sana mtu unakata mpaka wiki 3 mwanamke hajakupa papuchi....seriouly mbona wanazingua sana ..acha...
Habari wana Jamii Forum, leo nimeona nivema nikaweka mawazo yangu kwenye jukwaa hili ili hii ni kutokana na ukweli kwamba baadhi ya watendaji waliopewa dhamana na serikali yetu kusimamia taasisi...
Wakuu, chunguzeni wabunge wa viti maalumu na wakuteuliwa,wengi huwa ni wanene (futa). Wembamba huwa wachache sana.
Hali kadhalika na madiwani wa viti maalumu,nao mifuta kweli yaani!
Tujadili
Ilikuwa ni usiku wa kuamkia june 21 mtu ambae ni mkazi wa tabora wilaya ya sikonge baada ya kukosana na mke wake ndipo akachukua hatua ya kumtwangwa mke wake ila baada ya kumtwangwa sana kichapo...
Baada Ya Ya Ku Draw Wekundu Kadhaa Kwenye Mashine Inayotoa Sabuni Ya Roho Nipata Mbili Faster Faster.Zilipokolea Kingereza Kikafunguliwa Tatizo Hakukuwa Na Wenzangu Zaidi Ya Mleta Maji Na Yeye...
Sijui nini kimekuta huyu tajiri jeuri baada ya kusweka ndani
Nakumbuka ni huyu ndiye alimfunguliaga Mengi shitaka la madai ya kuchafuliwa jina akidai shilingi tano
Huku akiwalipa mapesa mengi...
wakuu
nimekuwa nikizisikia habari za ukwepaji kodi kwa mastar wa soka dunia zikitikisa kwa kipindi cha hivi karibuni bila ya kuelewa mifumo ya ukusanywaji kodi za nchi za ulaya hasa spain
hii...