Kwanini Wabunge na Madiwani wengi wa viti maalumu ama kuteuliwa huwa ni wanene?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,319
2,000
Wakuu, chunguzeni wabunge wa viti maalumu na wakuteuliwa,wengi huwa ni wanene (futa). Wembamba huwa wachache sana.

Hali kadhalika na madiwani wa viti maalumu,nao mifuta kweli yaani!

Tujadili
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,185
2,000
Wakuu, chunguzeni wabunge wa viti maalumu na wakuteuliwa,wengi huwa ni wanene (futa). Wembamba huwa wachache sana.

Hali kadhalika na madiwani wa viti maalumu,nao mifuta kweli yaani!

Tujadili
unataka kutueleza nini? hukuteuliwa kwakuwa wewe siyo mnene?
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,523
2,000
Wengi ukiwaangalia vizuri ni waropokaji tuu, wengi hutembelea ktk mada zilizopelekwa na wenzao alafu wanapenda kiki za pikipiki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom