SONGWE: Sukari yaadimika kwa wiki nne, wananchi walazimika kununua ya magendo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
Wananchi mkoani Songwe wanakabiliwa na uhaba wa sukari ambayo inadaiwa kuadimika madukani kwa zaidi ya wiki nne hali inayowalazimu kununua sukari ya magendo kutoka Zambia na Malawi inayoingizwa nchini kwa njia za panya na kuuzwa kwa bei kubwa maeneo ya mjini huku vijijini ikidaiwa kutoweka kabisa.
 
Hatujamaliza suala la mchanga,sukari nayo inaanza utata???Jamani huu mwaka utakuwa mrefu sana
 
Sasa kama Sukari imehadimika, hiyo ya Magendo inatoka wapi? ebu acha akili za Jaza ujazwe!
 
Back
Top Bottom