'Rais wa wanyonge, watanzania wa hali ya chini, watanzania wanakuomba umuhamishie KIBITI huyu DC

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,509
2,000
NASHAURI TU........DC UBUNGO AHAMISHIWE KIBITI

Huyu DC wa sasa wa Ubungo kwa 'intelijensi' aliyonayo ya kutambua kuwa mzee Sumaye, Meya wa Ubungo aliyechaguliwa na wananchi pamoja na viongozi kadhaa wa CHADEMA walikuwa na mpango wa kuandamana hadi akaamuru wawekwe ndani kwa saa 48 kwa kutumia 'intelijensia' yake.... naona anafaa kabisa kuhamishiwa wilaya ya Kibiti ili akaokoe roho za watanzania wenzetu kwa kutumia 'intelijensia' hiyo hiyo.

Rais wangu kipenzi, Rais wa wanyonge, watanzania wa hali ya chini, watanzania masikini, nakuomba umuhamishie KIBITI huyu DC Kisare Makori... atatusaidia sana
tmp_26911-FB_IMG_14981131433571879995611.jpg
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Apelekwe Kibiti na Kasesera wa Iringa kwa uhodari wake apelekwe Rufiji ili waendeshe patrols za nguvu. Hapa unknown killers lazima watajuta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom