Ubaguzi wa Wazungu kwa Filbert Bayi...

Ubaguzi wa Wazungu kwa Filbert Bayi...

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
Kupitia ITV Tanzania, tumemsikia Filbert Bay akishangaa na kulalamika kutokuzawadiwa medali ya dhahabu na Malkia baada ya kushinda na kuvunja rekodi ya mbio za 1500, mwaka 1974, mashindano ya Commonwealth, Christchurch, New Zealand. Malkia alitakiwa amzawadie medali yake, lakini baada ya ushindi wake mkubwa, mzalendo Filbert Bayi akashangaa kutokuzawadiwa na Malkia! Hawa wezi wa matofali yetu ya dhahabu na makinikia, almasi na kila aina ya madini, haya mambo wataacha lini?! Pamoja na kuja kutupachika dini zao, bado wanatuona hatuko sawa nawo, wanatuona kama nyani, bado wanatudharau!
Je tulijitakia wenyewe au ni uzembe wetu kuwaruhusu kutufanyia haya?!
download (3).jpg
download (1).jpg

Bayi/Walker:1500m.WR.(New Edit)1974 Commonwealth Games,NZ via YouTube
1974 British Commonwealth Games - Wikipedia
 
Ubaguzi upo tangu enzi na enzi,cha muhimu ni kusonga mbele na kutambua utu wetu
 
Unaongelea mwakagani we nigro, wanaotuibia dhaabu in ccm usitutoe kwenye njia mamawwweee
Wazungu wanatubiaje wakati wanaosaini mikataba ni ccm, ustake tucheke unalazimisha yai LA chupa chai kulipikia kiepe
 
Back
Top Bottom