MTU AJINYONGA BAADA YA KUMPIGA MKE WAKE

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
2,940
2,000
Ilikuwa ni usiku wa kuamkia june 21 mtu ambae ni mkazi wa tabora wilaya ya sikonge baada ya kukosana na mke wake ndipo akachukua hatua ya kumtwangwa mke wake ila baada ya kumtwangwa sana kichapo ambacho kilikuwa ni fantastic kilimpelekea mke wake kuzimia hapo ndipo mume akaona kashaua kwa maamuzi ya haraka akachukua waya wa brake ya baiskel uliokuwa umeshachubuliwa ndipo akaenda kwenye mwembe mmoja mkubwa ulio kando ya barabara ya kupita watu .

Lakini kifo chake bado kina utata kwa sababu zifuatazo
1.kajinyonga huku kajifunga mikono jambo ambalo haliwezekana mtu kujifunga mikono ww mwenyewe then ujinyonge
2. Kakutwa hana sehemu za siri i mean zimekatwa na kiwembe kimekutwa eneo la tukio
Picha zitakuja baadae maaba sikupiga ila mwenzangu anazo
 

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
Wamevakiwa na kushushiqa vipondo vikali yeyw na mke wake then man akanyongwa mpaka kufa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom