N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,318
- 12,828
Wadau wameshawaulizeni sana hili suala hamtoi majibu ya kueleweka.
Kwanini Taasisi ya serikali ambao mlipaswa kupromote matumizi ya local currency mnawakandamiza watanzania kwa kutoza ada kwa USD?
Matokeo yake media nyingi hasa hizi Fm stations zina struggle sana kulipa kutokana na fluctuations za rate ya USD against Tzs.
Jirekebisheni invoices zenu mzitoe kwa TZS ada iwe fixed. Kuendelea kutoza kwa USD mnawaminya sana watanzania hawa wanaomiliki media especially zisizo kuwa commercial.
JITAFAKARINI kama mnachofanya ni fair. Mkurugenzi mpya liangalie hili kwa upya.
N'yadikwa kwa niaba ya wadau wa media.