Raisi Magufuli; Kateni maji hata kama ni Ikulu..

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,340
2,000
DAWASCO kateni maji hata kama ni Ikulu..Haya ni maneno yalisemwa na raisi wetu JPM,

Matumaini DAWASCO hawatakuwa na visingizio tena kwamba watu hawalipi bills zao tena, Raisi Magufuli anajua alisemalo, kwenye bajeti, Idara, Taasisi, Mashirika na Wizara zote huwa zinatengewa bajeti ya maji, haoni sababu kwanini hawalipi na kaamuru na kuwapa meno DAWASCO kukata maji na kukusanya hayo malipo...

Raisi kaenda mbali zaidi na kutaka Mkurugenzi mtendaji wa DAWASCO Mutalemwa (a true dinosaur) kuachia ngazi, huyu ndiye alikuwa kinara wa uozo wote pale, kutokana na hii kata maji, DC's, RC's na DED's watapigwa chini wote

(Gazeti la Mtanzania).
Hongera JPM, sasa twaongea lugha moja...
 

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,034
2,000
DAWASCO kateni maji hata kama ni Ikulu..Haya ni maneno yalisemwa na raisi wetu JPM, natumaini DAWASCO hawatakuwa na visingizio tena kwamba watu hawalipi bills zao tena, JPM anajuwa alisemalo, kwenye bajeti, Idra, Taasisi, Mashirika na Wizara zote huwa zinatengewa bajeti ya maji, haoni sababu kwanini hawalipi na kaamuru na kuwapa meno DAWASCO kukata maji na kukusanya hayo malipo...
JPM kaenda mbali zaidi na kutaka CEO wa DAWASCO Mutalemwa (a true dinosaur) kuachia ngazi, huyu ndiye alikuwa kinara wa uozo wote pale, kutokana na hii kata maji, ma DC, ma RC na ma DED watapigwa chini wote (Gazeti la Mtanzania).
Hongera JPM, sasa twaongea lugha moja...
Ma dc
ma rc
ma ded watapigwa chini wote

Unamaanisha kuna uteuzi mpya ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom