Updates: Kwenye Longchairs Kuna Nini Lazima International Language Ije Automatic

Updates: Kwenye Longchairs Kuna Nini Lazima International Language Ije Automatic

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Baada Ya Ya Ku Draw Wekundu Kadhaa Kwenye Mashine Inayotoa Sabuni Ya Roho Nipata Mbili Faster Faster.Zilipokolea Kingereza Kikafunguliwa Tatizo Hakukuwa Na Wenzangu Zaidi Ya Mleta Maji Na Yeye Hajui Nikajikuta Nampigia Wife Nikaanza Kumsifia Uzuri Wake Huku Nikimuuliza Nimpelekee Nusu Kuku Au Cow Meat Mpaka Nafika Home Ngeli Kwenda Mbele Kwenye Simu Mwenzangu Anajibu Kienyeji Lkn Kafurahi
 
Unaongelea high chair, umenikumbusha na- brother wa huku kwetu Kwamtogole wanakwambia Mimi siongei kimalkia mpaka nilewe.
Hiyo lugha wanakuwa wanaijua ila shida ni kutokujiamini, kwa hiyo anapopiga pombe inampa kujiamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom