mamlaka ya ukusanyaji kodi Spain na shutuma kwa mastar wa soka

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,740
2,000
wakuu

nimekuwa nikizisikia habari za ukwepaji kodi kwa mastar wa soka dunia zikitikisa kwa kipindi cha hivi karibuni bila ya kuelewa mifumo ya ukusanywaji kodi za nchi za ulaya hasa spain

hii imefuatiwa kutipotiwa mara kwa mara kwa mastar wa soka, alianza Lionel Messi then Ronaldo (CR7 ), na sasa wametajwa Jose Morinho na Angel Di maria

hawa wote wanashutumia na mamlaka ya kodi nchini Spain

sasa nashindwa kuelewa vizuri, inakuaje star mkubwa anajikuta tu yupo katika hatia ya kutokulipa kodi, au huwa wanajua na wanakwepa kulipa kwa makusudi?

Naomba kueleweshwa katika hili, mifumo ya ukusanyaji kodi hasa kwa mastar wa soka nchini spain iko vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom