Tanzania bei ya mafuta inazidi kupanda sasa hapa maana yake nini?
Nilikua nasoma Forex hapa nikakutana na kipengele kinasema; The higher the price of oil, the higher inflation is likely to be and...
Habari za jioni Kamarada
Kwanza kabisa napenda kumpongeza kamanda Sirro kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya mda mfupi lakini ameweza kuzima jaribio ovu la kutaka kutuchafulia amani yetu hasa siai...
Hii inahusu redio ya watu clouds fm. Geita hatuwapati kabsa inakata kila mara, ni miezi miwili sasa tatizo hili, Mnapatikana usiku tu, mchana ndo kimya kabsa
Wahusika wa mambo haya fanyeni...
Nauliza TTCL kama wamesitisha huduma ya simu za mezani zisizotumia wire hizi CDMA maana ya kwangu naona imekata network kwa muda sasa wakati ilikuwa inanisaidia sana. Ni hii ya kwangu tu au zote...
Wakuu huu ufukwe wa seaview yaani barabara ya Obama umeuzwa? Kwa sawa huruhusiwi kuegesha Gari hata kwa sekunde na Kuna kampuni inazunguka zunguka na minyororo kufunga Magari ili ulipishwe faini...
Habari Za saa hizi wana JF .
Hivi sasa nipo Magomeni hospital kwa kumuona daktari lakin nilichokuta hapa Ni mambo ya ajabu. Yani lisaa lizima watu wapo kwenye queue kwa maana daktari Ni mmoja kwa...
Wadau,
Katika picha hapo kwa uangalifu wangu kwa macho tu nikitizama paa limepinda na pia bati za paa kubwa zipo sawa kiaina lakini paa dogo bati zimepangwa kama slash pattern zake, nadhani...
Katika zama hizi zisizoeleweka ueledi na umahiri vimekuwa vitu adimu sana vilivyo hatarini kutoweka,utangazaji na uandishi Habari WA zama hizi mpya umekuwa WA kikanjanja kwa kiwango cha...
Wakuu
Nimekwenda ofisi za uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro nimeshuhudia rushwa iliyokomaa pale. Kuna sample ya watu kama Sajenti Mruma na ASI Sembua Ngesheri na wengine wengi wanaomba rushwa balaa...
Maputo. Mtu mmoja nchini Msumbiji, amelazimika kumlipia mahari mke wake aliyefariki wiki iliyopita wakati akijifungua.
Gazeti la taifa nchini humo limeandika kuwa mwanaume huyo alilazimika kulipa...
Watuhumiwa 20 wanashiliwa na kituo cha polisi cha Usa River mkoani Arusha kwa kujihusiha na kilimo cha bangi
Maafisa wa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na madawaya kulevya mkoani Arusha...
Mwanzo wakati zoezi la uhakiki wa watumishi wa uma linaanza nilidhani serikali inayo nia njema ya kuboresha kadhia ya utumishi! Nilidhani serikali ina nia ya kupunguza matumizi na kuwaondoa...
Hbr ya leo JF fans and members,
kwa kweli naona sasa tunapokwenda sipo kabisa.
Leo Mh. Rais yupo ziarani mkoa wa Pwani, hiyvo tumelazimika kukaa barabarani kwa zaidi ya saa moja kupisha apite...
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na...
walengwa watanielewa vema
Kila kitu kina mbadala wake kwahiyo hata kwenye hili isionekane ni jambo la ajabu sana
Kuna tiba za kizungu na Kuna tiba za kikwetu ambazo hutatua matatizo na mambo...
…. Kutoa mimba ni nini?
Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake. Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za...
Wana Jamvi salama.
Naomba kwanza nianze na kumshukuru Mungu kwa kuweza kunifanya kuwa hai mpaka sasa.
Baada ya hapo niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hapa nchini kumekuwa na utaratibu wa...