Anga limechafuka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,604
752,014
73e490198ef2c5368cb76c1f6d8d4e0e.jpg
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
 
Yule mganga anayewasaidia watu kuihama Arsenal sasa anawasaidia watu kutotumbuliwa majipu. Hahaha
 
73e490198ef2c5368cb76c1f6d8d4e0e.jpg
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
mshana jr uko sahihi kabisaa...!!!
 
Back
Top Bottom