Wanaume Ukiona Kila Siku Mkeo Anamtambulisha Mwanao Kwako Utapo Safari Au Kazini Ujue Mtoto Sio Wako

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Kwanini Umtambulishe Mtoto Kwa Baba Yake Kila Siku Utasikia "daddy uyo,sema daddy,daddy kaja,daddy"
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
[HASHTAG]#perfectz[/HASHTAG] Ukitoka Kazini Au Safarini Ukiingia Ndani Tu Mkeo Anamjulisha Mwanae Kwakusema "Daddy Kaja Tom Njoo Umuone Daddy Kaja Tom Njoo Daddy Kaja Daddy Huyo Msalimie Daddy" Umeelewa Sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom