Macontractor wazawa na makosa katika ujenzi

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,828
2,000
Wadau,

Katika picha hapo kwa uangalifu wangu kwa macho tu nikitizama paa limepinda na pia bati za paa kubwa zipo sawa kiaina lakini paa dogo bati zimepangwa kama slash pattern zake, nadhani Contractor hana umakini jengo la zamani hilo la Muitaliano wa Slipway aliyeliuza kwa Computer Centre.

Mwanzoni lilikuwa ni vigae vilivyopangwa vizuri na kupendeza ila now am sure litachekesha katika majengo ya city center kwa Wataalam na wajuzi wa kujenga tupeni utaalam wenu ila kwa upande wangu hao wajenzi sitowalipa hata senti.

Screenshot_2017-06-21-11-51-32.jpg

20170621_080814.jpg

20170621_080753_001.jpg
 
germanium

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
688
1,000
hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo sisi wantanzania kwenye construction industry
ukifatilia kiundani sababu ni malipo duni kwa hao mafundi kutoka kwa huyo contractor
kwa kifupi hao wafundi wameuza mechi
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,074
2,000
Siamini ujinga wako mtu verified person pia sijaandika popote kuwa mimi ni mjenzi au nina jenga... so hivi sometimes huwa mnaquote mkiwa sober or? remember this is not your fight
Nipo sober mkuu ukijuaje asee..nina arosto mbaya...Kukwambia uweke picha au ungependekeza iweje ndio unatoa povu..!!!? pole yako mkuu

Ngoja niendelee na dozi yangu ya methadone huku sober mkuu...Byebye!!
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,828
2,000
hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo sisi wantanzania kwenye construction industry
ukifatilia kiundani sababu ni malipo duni kwa hao mafundi kutoka kwa huyo contractor
kwa kifupi hao wafundi wameuza mechi
Umeonaa eeh... Me house yangu fundi mkuu alileta wajenzi walevi walevi ukuta ulijengwa kamba imefungwa huku imeregea huo mpindo nilioukuta jioni mbona niliamrisha tofari zibomolewe kesho yake nikampa kazi fundi mwingine akapandisha tofari vizuri tu... nikajua mafundi wa bei rahi wao ni bora liende... sasa leo nimeona hiyo kitu nimesikitishwa sana
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,639
2,000
hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo sisi wantanzania kwenye construction industry
ukifatilia kiundani sababu ni malipo duni kwa hao mafundi kutoka kwa huyo contractor
kwa kifupi hao wafundi wameuza mechi
Tatizo wala sio malipo wabongo kusimamiana ni shida sana. Wachina hulipa sawa na wabongo au chini lakini muonekano wa nje wa kazi zao ni mzuri kwa sababu wanasimamia point to point.

Mkandarasi mbongo akishapata kazi anatuma watu tu huko wala hawana msimamizi wa maana kufuatilia ye anajua kufuatilia pesa tu wakati wa malipo.
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,828
2,000
Nipo sober mkuu ukijuaje asee..nina arosto mbaya...Kukwambia uweke picha au ungependekeza iweje ndio unatoa povu..!!!? pole yako mkuu

Ngoja niendelee na dozi yangu ya methadone huku sober mkuu...Byebye!!
Wapi nimeandika ninayo picha niitakayo mimi hiyo nyumba iwe zaidi mimi nimeonesha makosa haswa ya hicho kipaa kidogo kuwa kimepinda na pattern ya bati haifanani.... Maoni na ushauri ni vitu viwili tofauti so wewe unanichukulia as if nagombea kazi au nilinyimwa tenda hapo no. mimi naonesha Uzembe wa Makampuni ya Ujenzi katika Usimamizi duni... Mwenye akili anaelewa so nimekushangaa wewe kama upo sawa au Upo Tingasi
 
Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
491
1,000
Siamini ujinga wako mtu verified person pia sijaandika popote kuwa mimi ni mjenzi au nina jenga... so hivi sometimes huwa mnaquote mkiwa sober or? remember this is not your fight
Kuna watu duniani umu wanakera sana tena sana...mtu unakuja na kitu concrete for JF watu wa'discuss ila lijitu from nowhere linakuja linaQUOTE alafu anachojibu/kuandika ni pumba kiwango lami ya Kilwa road.

Msamehe bure.!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,374
2,000
Hapo nampa lawama engineer na architect!! Wao ndio wamefanya huo ujinga! Huwezi design alafu usiwe unasimamia kuona maendeleo!!

Lakini pia hao wakandarasi japo wanafwata mchoro ila pia nao ni wa kulaumu...kama waliona shida kwanini wasingewasiliana na engineer aliyeandaa mchoro??

Je ERB na CRB wako wapi?? Kabla ya kuanza ujenzi hawakukagua michoro??

Tuna safari ndefu sana!!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,374
2,000
hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo sisi wantanzania kwenye construction industry
ukifatilia kiundani sababu ni malipo duni kwa hao mafundi kutoka kwa huyo contractor
kwa kifupi hao wafundi wameuza mechi
Mimi siamin kama ni malipo duni! Huo ni usimamizi MBOVU KABISA!! kuanzia engineer...architect mpaka mkandarasi na injinia wake!!! Hapo usimamizi ni mbovu period!!
 
jitizame

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
275
250
Wadau katika picha hapo kwa uangalifu wangu kwa macho tu nikitizama paa limepinda na pia bati za paa kubwa zipo sawa kiaina lakini paa dogo bati zimepangwa kama slash \\\\\ pattern zake Nadhani Contractor hana umakini Jengo la zamani hilo la Muitaliano wa Slipway aliyeliuza kwa Computer Centre mwanoni lilikuwa n vigae vilivyopangwa vizuri na kupendeza ila now am sure litachekesha katika majengo ya city center... kwa Wataalam na wajuzi wa kujenga tupeni Utaalam wenu ila kwa upande wangu hao wajenzi sitowalipa hata senti... Nitawaonyesha Unyambilisi ni sawa na mtu aje kujifunzia ukinyozi kichwani kwako. Nadhani mteja hajaona au yeye ndie kaleta ubazazi liwe hivyo?
View attachment 528130
View attachment 528131
View attachment 528132
Yaan ww umeona hapo kwa vile ulinyimwa hiyo kazi.hayo ni makosa ya kawaida tu na mpk uchunguze sana ndio ujue.mbona hilo lingine limekaa vzr..
 
jitizame

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
275
250
Wapi nimeandika ninayo picha niitakayo mimi hiyo nyumba iwe zaidi mimi nimeonesha makosa haswa ya hicho kipaa kidogo kuwa kimepinda na pattern ya bati haifanani.... Maoni na ushauri ni vitu viwili tofauti so wewe unanichukulia as if nagombea kazi au nilinyimwa tenda hapo no. mimi naonesha Uzembe wa Makampuni ya Ujenzi katika Usimamizi duni... Mwenye akili anaelewa so nimekushangaa wewe kama upo sawa au Upo Tingasi
Ulishawahi wakagua strabag au ile kampuni inayojenga pale tazara ukaona kuna makosa gani?? Au uliliona hilo tu
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,828
2,000
Yaan ww umeona hapo kwa vile ulinyimwa hiyo kazi.hayo ni makosa ya kawaida tu na mpk uchunguze sana ndio ujue.mbona hilo lingine limekaa vzr..
duh kwahiyo mtu yeyete akiona makosa and then akikosoa basi huyo alinyimwa Tender? akili za kufundishwa wewe...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom