Magunia 168 ya bangi yakamatwa Arusha, watu 20 washikiliwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,241
2,000
Watuhumiwa 20 wanashiliwa na kituo cha polisi cha Usa River mkoani Arusha kwa kujihusiha na kilimo cha bangi
Maafisa wa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na madawaya kulevya mkoani Arusha wamekamata magunia 168 ya bangi kijiji cha Losinoni wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha
Kamishna wa intellijensia ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Fredy Kibuta amewaonya wauzaji wa dawa za kulevya kusoma alama za nyakati na kuwafananisha na wauaji
Tume ya kupambana na madawa ya kulevya imesema operesheni hiyo ni endelevu na kuwataka wananchi wa eneo hilo kujikita kwenye kilimo mbadala cha mazao ya mahindi, pareto na alizeti kwani yanastawi maeneo hayo

PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250

Safi sana POLISI....Mkiendelea hivyo Mwaka 2020 uchaguzi utakuwa Peaceful...kwani influence and mzuka wa kitu cha ARUSHA havitakuwepo..
 
likandambwasada

JF-Expert Member
May 27, 2015
5,412
2,000
WATU BADALA YA KULIMA MAHINDI WANALIMA BANGI,HALAFU MWISHO WA SIKU WATALALAMIKA BEI YA UNGA IKO JUU, SASA KWANINI UNGA USIPANDE BEI WAKATI MNALIMA BANGI.. NA WANAOVUTA BANGI KWA KAWAIDA WANAKULA SANA:D:D
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,582
2,000
WATU BADALA YA KULIMA MAHINDI WANALIMA BANGI,HALAFU MWISHO WA SIKU WATALALAMIKA BEI YA UNGA IKO JUU, SASA KWANINI UNGA USIPANDE BEI WAKATI MNALIMA BANGI.. NA WANAOVUTA BANGI KWA KAWAIDA WANAKULA SANA:D:D
Hapohapo watu huko Iringa wamelima nyanya nyingi balaa ila wamekosa wanunuzi ziko zinaharibikia mashambani sijui unataka wafanyaje hao wakulima?
 
Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,131
2,000
Mi nadhani wangeruhusu tu bangi.
Bangi sio.madawa ya kulevya
Bangi ni mmea tu na ni dawa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom