TTLC wamesitisha simu wireless za mezani?

Mantombazane

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
488
250
Nauliza TTCL kama wamesitisha huduma ya simu za mezani zisizotumia wire hizi CDMA maana ya kwangu naona imekata network kwa muda sasa wakati ilikuwa inanisaidia sana. Ni hii ya kwangu tu au zote? Msaada tafadhali
 

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,927
2,000
Zimesitishwa ila Kama Unayo Ukiwapelekea Katika Ofisi Zao Wanakubadilishia wanakupa Ya Mkonon

NB : Sina Uwakike Na Nilicho Kiandika Kwa sababu Nipo Bar Nakunywa Pombe

Waiter Zungusha Tena
 

Mantombazane

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
488
250
Nenda ofisini kwao watakusaidia
Sawa kiongozi lakini nilitegemea kwa shirika kubwa na kongwe kama lile kuwa wanapita pita humu kwenye mitandao na ikibidi wangekuwa na uzi maalumu sasa inaonekana bado wamekaa kama enzi za Nyerere ambapo simu ilikuwa ni wao tu. Ukitaka kujua bado hawajaamka ni mpaka sasa hakuna aliyejibu wakati hii ni biashara nataka kuwaingizia pesa. Wenzao DAWASCO na TANESCO siku hizi sio wale tena wameamka kila siku wako field. Mitandao mingine kuna wakati wanapigia wateja kujua wanazionaje huduma zao na kama wana matatizo yoyote au kama wameleta huduma mpya wanapigia wateja. Sasa hawa wamebaki na majengo wanafikiri ndio biashara
 

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,185
1,250
TTCL kweli wako vizuri.?
Nataka nije.nihame halotel mtandao mbovu.MB WANAPUNGUZA BILA TAARIFA.
500 wanakupa MB110.
WEZI HAWAAA.
Mkuu kwenye net wapo vzr ila tatizo maneneo yao kwa hapa dsm ni mjini mjini wamejikitaa mm nimepoti namba yangu kwao nafurahia data vzr ila nikienda tu hapo mapinga ni msiba hamna network
 

scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,677
2,000
Nauliza TTCL kama wamesitisha huduma ya simu za mezani zisizotumia wire hizi CDMA maana ya kwangu naona imekata network kwa muda sasa wakati ilikuwa inanisaidia sana. Ni hii ya kwangu tu au zote? Msaada tafadhali
zipo bado nenda ttcl shop yoyote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom