Kodi za majengo

Kodi za majengo

sirdelta

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
306
Reaction score
82
Je, kwa kulipa kodi ya majengo, nahalalishi umiliki wa kiwanja hata kama ijapimiwa?
 
Nasikia wanapita wanakadiria hata kama jengo halijaisha.
 
sirdelta,

Hapana. Nilikua na afisa arhdi wa jiji Mwanza siku 2 zilizopita nilimuuliza ilo swali akasema we unalipia jengo sio Ardhi
Lakin utakua Salama Kama eneo likipimwa litakua la makazi.
 
Hapana. Nilikua na afisa arhdi wa jiji Mwanza siku 2 zilizopita nilimuuliza ilo swali akasema we unalipia jengo sio Ardhi. Lakin utakua Salama Kama eneo likipimwa litakua la makazi
Hukumuuliza kwanini wanapita na kukadiria ata mwenyewe site mwenyewe akiwa hayupo.
 
Back
Top Bottom