Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu 66 na pikipiki 34 wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuvamia mgodi wa North Mara, unaomilikiwa na Acacia, DC Glorious Luoga anaongea na waandishi wa habari. figganigga Said; DC Luoga...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba kuuliza sheria ya madini na gesi ni ya muungano au ni ya Tanzania bara tuu
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Kazi tunayo awamu hii!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wengi wanaomtazama msichana mja mzito kama vile katenda kosa ambalo halistahili kufanywa na yeye, hapa naongelea mitazamo yetu ya kiafrika. Mpaka mwanafunzi anafikia hatua ya kwenda kujifungua...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu Mshana Jr Ametoa Post Mfululizo Nimeweweseka Sana Nashukuru Nimefumbua Macho Aisee
2 Reactions
19 Replies
2K Views
KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM,DANIEL ZENDA ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU WANA CCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA KWA MSIBA WA MAMA YAKE. Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu ndugu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mheshiwa Magufuli nimekuelewa! "Shule za msingi na sekondari, si shule za wazazi" Hii itasaidia kuwafanya watoto wetu wa kike kutafakari kabla ya kujiingiza na kujihusisha na mahusiano...
1 Reactions
4 Replies
997 Views
Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni; 1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia...
14 Reactions
337 Replies
61K Views
Habari ya majukumu wakuu. Natumai kila mtu anaendelea vyema na majukumu yake na poleni kwa wale wote ambao afya zao zina mushkeri kwa namna mbali mbali Mungu awanyooshee mkono mkarudie hali zenu...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Watoto wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja wakazi wa mtaa wa Kigoto, wilayani Ilemela Jijini Mwanza wamefariki dunia na wengine wawili kunusurika kifo katika ajali ya moto iliyosababishwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Naomba kujuzwa(kwa mwenye ulewa juu ya hili), sitting room na dinning room ya kisasa inakuwa na vipimo gani?
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Umewahi kusoma kitabu hadi nyele zikasisimka ukaona maisha yamebadilika baada ya muda mfupi au siku kadhaa ukajikuta uko vilevile... Jiulize ni kwanini... Umewahi kusoma vitabu vya kanuni flani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ubalozi wa nyumba kumi una umuhimu mkubwa sana ukitumiwa vizuri. Balozi anagusa wananchi kuliko rais wa nchi. Tatizo ni kutotambuliwa umuhimu wa hii kazi. Mabalozi wengi wanaishia kwenye kuamua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunakaribia kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhwaan na mambo matatu yafuatayo ya muhimu yanayotukabili yanapasa kuzingatiwa ili tukamilishe Swawm zetu ipasavyo na tupate fadhila zake. 1...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Dhulma dhulma ndio imekuwa kisingizio cha hawa wapuuz kuua watu wasiokuwa na hatia. Kama kudhulumiwa nikulipiza kisasi watu tungeshafanya ya ajabu baada ya kifo cha mwangosi lakini tuna...
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Naombaeni msaada wajuzi wa mambo ya Insurance Nilinunua gari aina ya VOLTs mwaka 2015, na ikapata bima ya kwanza August 2015, yenyewe ikiwa imetengenezwa mwaka 2003, na gharama yake yote ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu, ni namna gani naweza kupata kitambulisho cha utaifa kwa sasa na mda gani inaweza kuchukua hadi kupata kitambulisho baada ya kujaza fomu na kupiga picha. Ninashida msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza sheria ya madini na gesi ni ya muungano au ni ya Tanzania bara tuu
0 Reactions
0 Replies
771 Views
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amelazimika kula chakula na kunywa maji yaliyotoka kwenye mradi wa maji wa kisima kirefu uliokataliwa na wananchi kwa hofu kuwa wakinywa maji hayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye kikao cha bunge kinachoendelea spika amesema wabunge wa UKAWA ambao hawakuunga mkono bajeti ya serikali isipelekwe miradi ya maendeleo katika majimbo yao. Hali hiyo imezua mshangao ndani na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…