Salaam wakuu najuwa wengi mmelala ila naimani mtakutana na Uzi wangu huu na mkaweza kuni shauri.
Kiukweli ni miezi 4 sasa inaenda nimekuwa nikisumbuliwa na njozi
Inayo Nisihi nasauti ziki sema...
Mabasi yanatatizika kupita,mpaka makondakta wapande juu ya mabasi wauupandishe juu ili kupita!
Nawaza huu waya ukikatwa kwa makusudi au bahati mbaya,vikitokea vifo tumlaumu nani?
Kwanza lazima nikiri kuwa kuna waganga wa kienyeji wanaotibu kiasili kwa kutumia karama za kupewa na kurisishwa..hawa walikuwa wakweli na walikuwa msaada mkubwa kwa jamii
Halafu wakatokea waganga...
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi Ronald Rwakatare amesema wapo mbioni kumpata mtoa huduma ya ukusanyaji mapato atakayekuwa na jukumu la...
Habari za jioni wanajamvi,
Nadhani wengi wenu mko makini katika kufuatlia muandamo wa mwezi.
Wasomini tabaka ambao linaheshimika sana duniani, wengi tunaamini kwamba wasomi ni watu wenye busara...
Huku tukiwa na mapumziko ya siku chache ya sikukuu hii tukufu kabisa ya Iddi,basi ningependa leo niwakumbushie mawili matatu tu hawa wadogo zetu ambao bado wako ma vyuoni humu nchini, na ambao...
Toka amepata massive stroke sijasikia tena habari yake. Alipopelekwa kwenye hospitali ya Hadassa na kuwekwa kwenye coma, mpaka sasa sijabahatika kusikia habari mpya any news?
Updated: 2 minutes ago(AP)
COLOMBO, Sri Lanka - A bomb exploded at the entrance to a recreation park in the Maldives, wounding at least 12 foreign tourists Saturday, a government official said...
Habari zenu wana bodi...
Uzi huu unaweza usiwahusu watu wengi humu ila baadhi unatuhusu na pia nimeandika kufikisha ujumbe kwa Mzee wangu na Role Model wangu Mzee Mengi.. Siko hapa personally...
Hakuna kazi inayokosa changamoto, hata uwe mwerevu na mahiri vipi lakini lazima tu utakutana na kisiki
Waganga wa kienyeji nao hawajapona kwenye hili wengi walishapitia na majanga makubwa tu...
Tuacheni masihara mtaa wa Congo uliopo kariakoo hapafai ,huu mtaa kila siku ya Mungu kuna msongamano wa watu na hivi karibuni ndio kabisa umati wa watu unajaa ,kiusema kweli huu mtaa mimi...
Kwa wanaoishi na walioshi bagamoyo mjini bila shaka wataniunga mkono katika hili swala. Binafsi nilibahatika kukaa katika huu mji kwa takribani miezi 4 kabla sijafika ulikuwa ukiniuliza mtazamo...
Sasa viwanja vimeshuka bei ya kutupwa yaani ukiwa na laki tano tu unapata bonge la kiwanja na tena unaweza kujipimia mwenyewe uanzie wapi mpaka wapi kwa laki tano.
Maji yanapatikana vizuri tu...
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Ishaallah kesho ni Eid ul fitr ndio naangalia TV imani hapa wameonyesha mashahid wawili waliouona mwezi na wakamueleza sheikh wa mkoa mbeya. Na wameaapa...
Nimekuwa nikifatilia swala la kibiti kwa muda mrefu, damu za watu wasio na hatia zinamwagika kisa tu kwamba ama ni polisi au ni wawakilishi wa serikali. Wauaji wa kibiti ni watu waliojipanga na...
Kuna wakati nafarijika sana kuwa mtanzania,kuna wakati nahuzunika sana nikishtuka na kugundua kwamba am a Tanzanian!!!Huzuni hii inasababishwa na viongozi wetu wasio na maono na wananchi wasio na...
Wanabodi.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na taarifa mbalimbali za mzozo kati ya meya huyu na mbunge wa jimbo la bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki.
Kwa ambao hawajui sababu ,chanzo...
Wadau,
Miezi iliyopita barabara nyingi za baadhi ya wilaya hazikupitika kwa mvua na ubovu wake. Pendekezo langu ni kuwa serikali na halmashauri zisiishie kurekebisha na kuweka changalawe bali...