Njozi inayo Niandama kila mara

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,772
2,000
Salaam wakuu najuwa wengi mmelala ila naimani mtakutana na Uzi wangu huu na mkaweza kuni shauri.
Kiukweli ni miezi 4 sasa inaenda nimekuwa nikisumbuliwa na njozi

Inayo Nisihi nasauti ziki sema Elimu yako silolote wala sichochote kama huta itumia kumtangaza mwenyezi mungu alio kujalia uhai na amani ya moyo wako sauti inazidi kupaa ikisema Sitataja jina langu )Fulaaaan Fulaaan

Amkaaaa na itangaze kweli nahaq ya muumba wako umerudhukiwa elimu ya dunia na yadini itumie kumtaja mola wako na kuifikisha kwa mataifa na jamii yako njozi hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara sasa

ikiashiria kunitaka kuwa Mhadhir wa dini ikinisiii kila wakati usingizini kiukweli nimesoma dini si kiasi kikubwa ila kiasi fulani ninaelimu nzuri ya dini hivyo nauwezo mzuri wa kuifikishia hadhira elimu juu ya kumcha muumba wetu

Nimeleta kwenu mada hii ndugu zangu mnishauri Kwawelidi wenu ama kunipanulia mapana zaidi yausikanayo na njozi hii na nanini nifanye ili jambo hili lisijitokeze tenaa

Tafadhali naomba tusi kejeliane bali tushauriane sote ni binadamu na tuna mapungufu natupo humu kuelimishana pia asanteni.

Nawasilisha.
 

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,474
2,000
daaaah pole mkuu, lakini ni jambo jema hili, ila jichunguze kama kweli ni Mungu huyu huyu kweli, embu omba sanaa ukimuuliza kama kakuchagua au kuna jambo lisilo la kawaida
 

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,870
2,000
Mkuu subr iendelee kidogo... Nahc hapo bado ipo juu juu haijamaliza. Huenda inataka kukupa wito wa kwenda Kibiti.. Ikifikia hapo ndo uje utuulize humu..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom