IS ariel Sharon dead or Alive?

Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
5,028
1,500
Toka amepata massive stroke sijasikia tena habari yake. Alipopelekwa kwenye hospitali ya Hadassa na kuwekwa kwenye coma, mpaka sasa sijabahatika kusikia habari mpya any news?
 
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
12,738
1,500
Toka amepata massive stroke sijasikia tena habari yake. Alipopelekwa kwenye hospitali ya Hadassa na kuwekwa kwenye coma, mpaka sasa sijabahatika kusikia habari mpya any news?
Close Guarded secret!

...he's brain dead! Mwili unasaidiwa na mashine, kuanzia Nutrients mpaka kupitisha haja kubwa na ndogo.

Ama kweli malipo hapa hapa duniani, huyu bwana mkubwa alifanya kila hila Yassir Arafat asipatiwe matibabu wala huduma haraka. Kipindi kile walikuwa wamewakatia maji HQ ya Fatah pale Ramallah na umeme, mpaka wafaransa walipo force entry kwa helicopter kumnusuru mzee wa watu, ingawa hakudumu hata week akiwa kwenye matibabu Paris.

Sasa naye?

...na kwa imani ya Jews haikubali euthanesia (Euthanasia; the practice of ending the life of a person who is terminally ill in a painless or minimally painful way, for the purpose of limiting suffering) huyu mzee ataendelea kula 'adhabu' ya kudhalilika hapa hapa duniani kwanza!
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
5,028
1,500
Kweli hiyo kali, nilikuwa nafuatilia aliyokuwa anasema kuhusu waarabu kwenye youtube, alipanga kuwakomesha na kuwaua kisawasawa naona nia yake haikutimia.
Nadhani that is a very bad ending kwake.
 
tracy martins

tracy martins

JF-Expert Member
3,555
2,000
Kweli hiyo kali, nilikuwa nafuatilia aliyokuwa anasema kuhusu waarabu kwenye youtube, alipanga kuwakomesha na kuwaua kisawasawa naona nia yake haikutimia.
Nadhani that is a very bad ending kwake.
Ndio hivyo mkuu ,kuna kitu cha kujifunza hapo
 
Forum statistics

Threads
1,424,525

Messages
35,066,010

Members
538,010
Top Bottom