Habari zenu humu jukwaani. Kutokana na kauli ya Mh Rais kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutorudi shule,kauli hii imepokelewa vibaya na wananchi hasa wapinzani wake.Jana nilianza kufanya...
Watu wa Mungu bwana Asifiwe, salaam poleni na majukumu ya jpili.nilikuwa nahitaji ushauri wenu ndugu zangu kuhusiana na maswaiba yaliyonipata. Hi ni week yapili niliyopo kwenye hofu isiyo...
*UTAJUAJE KAMA WEWE NI SHUJAA???*
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuwa ndio unaoongoza nchini kwa uzalishaji wa mihadarati ukifuatiwa na Mkoa wa Arusha. Hii ni kwa mujibu wa Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya...
Nahitaji kupata nafasi ya kufundisha katika shule yeyote ya private English medium primary school masomo ni GEOGRAPHY, HISTORY AND CIVICS.. MAWASILIANO +255 752 473 847
Waungwana hongereni kwa kuhitimisha mfungo wa Ramadhan kwa wale walio swali Idd leo,na pia nawatakia maandalizi mema kwa wale watakaosheherekea Idd kesho.Sitarajii kujadili au kuibua mjadala wa...
Hbr,
Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni...
Kuna Mtu Mtaani Kwetu Mwanae Kanunuliwa Pikipiki Mpya Basi Watoto Wa Makabwela Wakigusa Toyo Tu Huyo Dogo Anawagonga Kwenzi La Kichwa Mpaka Unaona Vibaya.Baba Mtu Nae Watoto Wakijaa Kwa Rafiki Yao...
Kama inavyoonekana kwenye picha kalamu nyingi za aina ya BIC huwa kifuniko chake kimetobolewa, sasa unafahamu ni kwa nini?
Kama haufahamu sababu ni kwamba kuna watu ambao hutafuna hivi vifuniko...
Naiangalia hii filamu kwa sasa, kuna sehemu kubwa tu wanaongea Kiswahili na kuna wamasai..... Ni Kama wana mission ya kwenda kwenye mlima wa mungu. Na Kama kawaida Yao hawa warangi wamesema tu...
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
nimetumia mda mrefu kidogo kujaribu kufikiria juu ya ndugu zetu watanzania wenzetu wanavyokufa kibiti pwani na hofu ya wananchi pia wa huko ,, nawaza sana nn chanzo sipati jibu kabisa juu ya...
Asalam alaikum.
Uzi huu uhusike kwa walengwa pekee kwa ajiri ya kupeana taarifa za kufikia tamati ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Kama mjuavyo asilimia kubwa ya waislam leo ni Ramadhan 29,so ni...
Wakuu hali zenu,
Nafanya PHD kuhusu Art and modernity in East-Africa. Specifically, nataka kuona kwa kiasi gani new generations of musicians kama bongo flavor etc wanarespond kwenye maendeleo...
Inaelekea we hujui Chadema ni ya nani, Act wazalendo ni ya nani, so and so, au umeamua kujitoa ufahamu. Jiongeze kidogo utapata majibu.
laana tullaah..
Tumewapa heshima viongozi wengi wa nje kwa kuzipa barabara zetu majina yao kwa mfano barabara ya Mwai Kibaki, Barack Obama Kenyatta,nk nk....Lakini huyu kijana ambae angalau kwa siku za hivi...
habari za sikukuu ndugu zangu, naombeni mnisaidie nataka kwenda mbuga ya wanyama kuspend sikukuu hii ya eid na sehemu ninayotaka kwenda ni tarangire naombeni ambao mmeshafika kwenye hiyo mbuga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.