Unakumbuka nini ukiona hii?

Unakumbuka nini ukiona hii?

Hahahah jamaa mmoja Sasa hivi ni mwalimu WA tuition
 
Hahahah kuna jamaa walimpa jina la "Edwin semzaba" anaandika essay kitabu .


Ila saivi daktari
 
Nakumbuka huo ndio ulikuwa machezo wangu sasa hivi kiko jf sina lolote nachart tu
 
fb_img_1498387185275-jpg.530378
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom