Inawezekana Body Ya V8 Ukavisha Engine Ya Gari Nyingine?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wadau Wanaojua Au Wenye Idea Ya Magari Nisaidieni Kwa Hilo Sijawahi Kununua Gari Mpya Nataka Kufanya Jambo Hilo Kuna Body Ya V8 Kwa Jamaa Yangu Anauza
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,666
2,000
Wadau Wanaojua Au Wenye Idea Ya Magari Nisaidieni Kwa Hilo Sijawahi Kununua Gari Mpya Nataka Kufanya Jambo Hilo Kuna Body Ya V8 Kwa Jamaa Yangu Anauza
Body ya V8 range rover,bmw,land crusier,nissan patrol?! Uifunge kwenye gari nyingine una maana same make au different make?
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
[HASHTAG]#rrondo[/HASHTAG] Namaanisha V8 Kama Zile Za Wakuu Wa Mikoa Na Mawaziri Ifanyike Modification Kuweka Engine Ya Land Rover,trooper Au Tata
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,666
2,000
[HASHTAG]#rrondo[/HASHTAG] Namaanisha V8 Kama Zile Za Wakuu Wa Mikoa Na Mawaziri Ifanyike Modification Kuweka Engine Ya Land Rover,trooper Au Tata
Weka engine nyingine ya Land Cruiser kama hio yaani V6. Kuweka engine ya make ingine mfano Land rover zoezi litakuwa gumu na la gharama kubwa.
 

Ntate Mogolo

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
332
1,000
Lakini Modify Ya Kuweka Engine Nyingine Ni Ktk Mounting Na Propeller Shaft Tu Ghalama Kivipi
Kuna zaidi ya hapo. Utahitaji kufanya marekebisho ya mfumo wa umeme pia, ambao lazima uendane na hiyo injini utakayo weka. Maana yake control systems zote za ndani ya dashboard, wiring ya tank za mafuta, sensor zote za gearbox, abs, knock sensor nk. Pia ECU na ECM na mifumo mingine midogo midogo kama AC. Gharama ya hivi vyote na ufundi wake, itakuwa kubwa sana kama injini itakuwa ya gari tofauti na hilo. Mfano, Land Rover kwa Land Cruiser no vitu viwili tofauti kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom