Kwanini Mauji kama Haya!

Benaco

Member
May 17, 2017
57
150
Hbr,

Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni kama vile wakenya hawa!
***************************************************************************
Samahanini wakuu naona video nlioweka imekuwa deleted toka youtube najitahidi kuweza ku upload kwa namna ingine tuweze kushare wote.
 
Attachments

  • File size
    10.8 MB
    Views
    14

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,745
2,000
Hbr,

Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni kama vile wakenya hawa!

Iko wapi hiyo video
 
Mndengestani

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,179
2,000
Kweli hiyo video kali sana naona Adui kuu kafa kikatili sana dah hii dunia hii sijui inaenda wapi?
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
4,102
2,000

Mkuu hiyo video ni ya muda kidogo kama miez miwili mitatu iliyopita

Na hao ni askari Polisi wa kenya walikua wanalipiza kisasi baada ya mwenzao kiuwawa na memba wa hilo genge la wahalifu.

Fire with fire......japokua wamewaua watu in cold blood ila walikua wanatuma ujumbe.

Ilileta mzozo kidogo ila sikumbuki mwisho wake iliisha vipi
 
Benaco

Member
May 17, 2017
57
150
Hbr,

Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni kama vile wakenya hawa!
***************************************************************************
Samahanini wakuu naona video nlioweka imekuwa deleted toka youtube najitahidi kuweza ku upload kwa namna ingine tuweze kushare wote.

Hii hapo VIDEO Wakuu kwa wale ambao hawakufanikiwa kuiona!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom