Wakuu hali zenu,
Nafanya PHD kuhusu Art and modernity in East-Africa. Specifically, nataka kuona kwa kiasi gani new generations of musicians kama bongo flavor etc wanarespond kwenye maendeleo ndani ya mambo ya TEHAMA.
Naomba mnisaidie kama kuna song yoyote ya kiswahili au kingereza inayoongelea ICT au development kupitia ICT. Nakumbuka hadija kopa aliimba wimbo kuhusu Y2K lakini maudhui yake haikuwa ICT parse... Please nisaidieni nimekwama yaani nimefikia kukumbuka majina ya kina lilian internet....nk. but sikumbuki wimbo ambao either unasifia au unakataza au unalink na technology
asanteni sana,
nangu Mandokwa