Kinachoendelea Pwani nini tatizo?

BAVARIAN

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
223
250
nimetumia mda mrefu kidogo kujaribu kufikiria juu ya ndugu zetu watanzania wenzetu wanavyokufa kibiti pwani na hofu ya wananchi pia wa huko ,, nawaza sana nn chanzo sipati jibu kabisa juu ya kinachoendelea huko , nipo na kijana mmoja wa huko anaogopa hata kwenda kuwasabahi wazazi wake huko yaaani ni full stress amejawa nazo ,,,,,,,,,,, je ww mwenzangu unadhani nn chanzo , nani alaumiwe , nn kifanyike coz inaumiza sana kwa kweli wale ni wenzetu jamani ,,, ebu fikiria kisha dondosha coment yako tuone nn cha kufanya kama raia wema#### Poleni sana kibiti#####
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,169
2,000

hili swala la kibiti inahitajika maridhiano

Joseverest
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
53,402
2,000
Huko pwani kunahitaji Busara zaidi kumaliza tatizo hilo....inavyonesha serikali inapotumia nguvu na wao wauaji wanatumiaa nguvu kuwa kufanya mauaji.....
Chanzo pia kiwekwe wazi na itatuliwe....

OvA
 
mpekunzi

Member
Jun 18, 2017
18
20
Tatizo ni kwa wana kibiti kutoweka wazi sababu ya mauaji dhidi ya watu wasiokuwa na hatia. Kama tungeliweza kujua chanzo/tatizo LA mauaji,hapo tungeliweza kutoa maoni yetu juu ya nn kifanyike ili kuzuia mauaji na uhasama huko kibiti !
 
Fiati

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
1,394
2,000
nimetumia mda mrefu kidogo kujaribu kufikiria juu ya ndugu zetu watanzania wenzetu wanavyokufa kibiti pwani na hofu ya wananchi pia wa huko ,, nawaza sana nn chanzo sipati jibu kabisa juu ya kinachoendelea huko , nipo na kijana mmoja wa huko anaogopa hata kwenda kuwasabahi wazazi wake huko yaaani ni full stress amejawa nazo ,,,,,,,,,,, je ww mwenzangu unadhani nn chanzo , nani alaumiwe , nn kifanyike coz inaumiza sana kwa kweli wale ni wenzetu jamani ,,, ebu fikiria kisha dondosha coment yako tuone nn cha kufanya kama raia wema#### Poleni sana kibiti#####
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom