Wapinzani wanapinga kauli ya Rais wakati Wanafunzi wanampongeza

forumyangu

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,147
2,000
Habari zenu humu jukwaani. Kutokana na kauli ya Mh Rais kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutorudi shule,kauli hii imepokelewa vibaya na wananchi hasa wapinzani wake.Jana nilianza kufanya research kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.Maoni yao nikajaribu kuyagawa katika asilimia kama ifuatavyo;
75% wanaunga mkono kauli ya Rais kuhusu wanafunzi wanaopata mimba shuleni.
23%hawakubaliani kauli ya Rais
2%hawajui
Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom