habari za sikukuu ndugu zangu, naombeni mnisaidie nataka kwenda mbuga ya wanyama kuspend sikukuu hii ya eid na sehemu ninayotaka kwenda ni tarangire naombeni ambao mmeshafika kwenye hiyo mbuga mnisaidie kujua bei ya kufika huko pamoja na chakula na malazi....nipo arusha na safar yangu nataka nianze kesho.