Kwa wakazi wa Dar naamin wanajua kuwa pale kariakoo mnadani ni pango la wanyang'anyi vifaa vyoye vya wizi wa magari vikiibiwa utavikuta pale wanakuuzia bila wasiwasi wowote kisha wanakwambia...
VICTOR WANYAMA has had a street
named in his honour in Tanzania just 24
hours after being named Kenya’s most
influential sporting personality.
The Tottenham midfielder attended a
football...
Kama kurogwa kweli wahaya ndio kabisaa wahaya wote kuanzia mzee wa henkein wa vijipesa vya ugoro na yule tajiri wa kihaya mzee. InfotecInfotec wote Hamna kitu wote kazi kusifiwa huku dar. Angalau...
Jambo wakuu
Kuna wimbo wa zamani kidogo calypso nafahamu baadhi ya mistari lakini sijui jina la wimbo huu. Naomba anayeufahamu anipe mashairi yake au anipe jina la wimbo tafadhali.
chorus: "Would...
Tusubirie matokeo ya uhakiki wa NIDA kwa watumishi wa umma.
Kuna kila dalili ya kubainika idadi kubwa ya watumishi wenye umri tata. Hawa kwa makusudi walifanya udanganyifu kwa kughushi...
Wandugu hebu tushirikishane jambo hili muhimu..
Kama ilivyo kwa tiba za hospitali na utaratibu wa matibabu ambapo mgonjwa anaweza kupona kupata nafuu ama kufa basi hata kwenye tiba za kishirikina...
Kusema ukweli kwa sasa kila mtaa Wa mji huu maarufu nchi kila mtu yupo ana nongona kuhusu stendi,barabara, na soko kulikoni mbona havifanyiwi kazi? Nakuomba sana mh na ukawa kwa ujamula kama...
Umofia kwenu wana JF,
Jana nilikuwa maeneo ya mpakani mwa tz na kenya ndipo nlipokutana na jamaa yangu ambaye ni mwandishi wa habari pande za nai,alinitonya kwamba mtangazaji wa habari za...
"Wametuletea mambo kubakana,Wanaume kwa wanaume,Wanawake kwa wanawake, wakati hata ng'ombe au mbuzi hazijawahi kufanya huo mtindo,ni ujinga ,ni upumbavu,ifike mahali watanzania tujitambue na...
Natumain ni wazima
Naombeni msaada jamani Mimi napenda sana kunyoa kipara kile ccha kung'aaa kabisa ila sasa kila nikinyoa tuu lazima nilazwe hospital yani nakuwaa Naumwa balaaa na hata wakifanya...
jaman mim na shindwa kuelewa kwa sasa why mama janneth magufuli hatoki kuongea na hata inshu ya watoto wa kike wanafunz watakao pewa mimba na je yeye kama...
Habari zenu humu jukwaani. Kutokana na kauli ya Mh Rais kuhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kutorudi shule,kauli hii imepokelewa vibaya na wananchi hasa wapinzani wake.Jana nilianza kufanya...
Watu wa Mungu bwana Asifiwe, salaam poleni na majukumu ya jpili.nilikuwa nahitaji ushauri wenu ndugu zangu kuhusiana na maswaiba yaliyonipata. Hi ni week yapili niliyopo kwenye hofu isiyo...
*UTAJUAJE KAMA WEWE NI SHUJAA???*
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.