Mtu unalia lia maisha magumu pesa mtaani haionekani lakini ukifika uchaguzi unampigia yuleyule aliekusababishia hayo yote
Hasa wanawake na wazee ni makundi yanayoishi maisha ya taabu sana lakini...
Tottenham and Kenyan midfielder Victor Wanyama was honoured in Tanzania on Saturday by having a street named after him in Dar es Salaam.
But the gesture looks to have been short-lived as local...
Pamoja na uchache wa magari barabarani nimeshangaa kukuta trafic light Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Mji mdogo wa Chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na...
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi
watu wengi wazima...
Leo asubuhi nimefanya utafiti usio rasmi kuhusu biashara ya nyumba za kufikia wageni, majibu niliyopata sikuamini macho yangu. Nimetembelea jumla ya loji 6 na nyumba za wageni 7 katika mtaa wangu...
Eid mubarak ndugu zangu,
Leo nimebahatika kuwepo mkoani Mtwara katika sherehe hizi za kumalizika kwa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Mtwara ni moja ya mikoa ambayo inaidadi kubwa ya waamini wa...
Ninashangaa sana hii mitimu. Kila siku inamtegemea ama Dewji au Manji au tajiri fulani. Hivi lini mtajitegemea nyie matimu? Timu zina umri wa Chelsea, lakini mpaka sasa tegemezi.
Kwa kifupi
Kwa vigezo vilevile vilivyotumiwa kutokuruhusu watoto waliodungwa mimba mashuleni kwamba kurudishwa mashuleni kutachochea uzinzi. Kuna haja sasa ya serikali hii ya awamu ya tano kupiga...
Kama umeguswa kutoa msaada kwa wenye uhitaji fanya hivyo kimya kimya bila kuongozana na msululu wa waandishi wa habari.
Kufanya hivyo ni njia ya kutarajia malipo ya wema wako huo kutoka kwa...
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amemshukia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai na kumtaka kuacha unafiki kuhusu futari yake aliyoandaa na kususiwa na wabunge wa...
Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze...
Wakuu salaam,Mimi ni mkristo ila nawaombeni ndugu waislam mnitoe tongotongo.futari hutolewa kwa nani?km Mimi ninauwezo,je nimualike nani?Wenye uwezo ama wenye mahitaji ambao hawana uwezo.maana...
Anaaandika
Wamajiwa M.M. (Teute),
Mwanasheria Msomi
SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA BEN SAA8.
Ndg, waTanzania,
Ben saa8
Ni mtanzania kama waTanzania wengine mfano wa mimi, wewe na...
Nimepata ramani ya nyumba ya kuishi, yenye vyumba 4( kimoja kati ya hivyo ni self contained), sitting room, dinning room, jiko,choo na bafu(public) ukubwa wa nyumba ni 107.5 sq m lakini naangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.