Swali la ufahamu:Nini tafsiri ya futari?

Gemini6

Senior Member
Jun 21, 2017
153
208
Wakuu salaam,Mimi ni mkristo ila nawaombeni ndugu waislam mnitoe tongotongo.futari hutolewa kwa nani?km Mimi ninauwezo,je nimualike nani?Wenye uwezo ama wenye mahitaji ambao hawana uwezo.maana nimekuwa nikiona viongozi wakialikana kwa futari wao kwa wao.MF. spika kuwaalika wabunge,Rais kuwaalika mabalozi nk nk.Je! So vena wangewaalika wenye mahitaji?naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom