KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Pamoja na uchache wa magari barabarani nimeshangaa kukuta trafic light Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Mji mdogo wa Chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na watu wengi hivi pale Chato kuna nini? Kwanini mataa hayo wasiyapeleke kwenye miji mikubwa kama Morogoro Moshi Bukoba Iringa na Dodoma? Sijui kama yana msaada mkubwa kwa watu kama miji hiyo hapo juu?