kauli ya rais imeongeza kasi ya ngono kati ya watu wazima na wanafunzi

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,970
2,184
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi

watu wengi wazima walikuwa wanaogopa sana kujiengage katika mahusiano na wanafunz hivyo basi kauli ya rais (sitaki hata kumtaja jina) imekuwa kama kibali rasmi sasa kwa yule mwanafunzi anayehitaji mimba azae tu akae na kuolewa nyumbani
sasa watu hawaogopi tena, ngono na wanafunzi imepewa kinga ya rais, yaaani waendelee kuzaa tu

ile sheria inayowalinda watoto na wanafunzi dhidi ya vitendo hivyo sasa imeng'olewa meno kabisa na mkulu

ila ndio ivo huyu jamaa kashalipitisha, ni jukumu letu wazazi tuwachunge wanetu wenyewe tu maana rais hayupo nasi kabsa katika hili
 
Kabla ya kuandika bandiko lolote jukwaani, jaribu kulifanyia research kwanza.

Achana na mawazo ya jaziba, na chuki.

Raisi ajaweka wepesi wowote kwenye sheria, atakae mpa mimba mwanafunzi na ikathibitika ni gerezani miaka 30. Na mwanafunzi wa kike nyumbani, akitaka kuendelea na shule akasome private school na sio kwa pesa za serikali.

Ifike hatua tuachane na western culture, watoto wetu tuwakuze kwenye maadili na sio kuwasifu na kuwaekea huruma kwenye uzinzi.

Kama tuta support hili, basi ipo siku tuta support ushoga uruhusiwe nchini.
 
Kwahiyo alivyosema kua atakayempa mwanafunzi mimba aende jela miaka 30 na mwanafunzi atakayebeba mimba akiwa shuleni hasomeshwi tena na serikali aenda shule binafsi, sasa hapa amekuchocheaje wewe kuwafata wanafunzi kuwapa mimba?

Jamani tumieni kichwa cha juu sio chini
 
Hayo ni mawazo yako,sio hali halisi na hakusema hakuna hukumu kwa atakaebainika kumpa mwanafunzi ujauzito...
 
Kitakachofanyika ni wazazi kumuozesha tu huyo binti yao maana kiuhalisia hakuna tena ndoto za shule.
 
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi

watu wengi wazima walikuwa wanaogopa sana kujiengage katika mahusiano na wanafunz hivyo basi kauli ya rais (sitaki hata kumtaja jina) imekuwa kama kibali rasmi sasa kwa yule mwanafunzi anayehitaji mimba azae tu akae na kuolewa nyumbani
sasa watu hawaogopi tena, ngono na wanafunzi imepewa kinga ya rais, yaaani waendelee kuzaa tu

ile sheria inayowalinda watoto na wanafunzi dhidi ya vitendo hivyo sasa imeng'olewa meno kabisa na mkulu

ila ndio ivo huyu jamaa kashalipitisha, ni jukumu letu wazazi tuwachunge wanetu wenyewe tu maana rais hayupo nasi kabsa katika hili
Mkuu, itoshe kusema kuwa kichwa chako ni maalum kwa kufugia nywele tu.
 
Msimhusishe Rais na ubazazi,ubaradhuli wenu! Kama umezoea kutembea na watoto utaendelea tu....na kama si tabia yako kauli ya Rais haiwezi kukufanya uanze huo ushenzi!
 
Inawezekana hukumuelewa vizuri Mh. Rais dkt john pombe magufuli . Ninashauri usikilize hotuba yake upya .
 
Mara hii mshapata Data zote hizo,hiyo research Imefanyika mikoa mingapi? Kama tafiti zenyewe ndio hizi wacha waendelee kulana Tu hakuna namna.
 
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi

watu wengi wazima walikuwa wanaogopa sana kujiengage katika mahusiano na wanafunz hivyo basi kauli ya rais (sitaki hata kumtaja jina) imekuwa kama kibali rasmi sasa kwa yule mwanafunzi anayehitaji mimba azae tu akae na kuolewa nyumbani
sasa watu hawaogopi tena, ngono na wanafunzi imepewa kinga ya rais, yaaani waendelee kuzaa tu

ile sheria inayowalinda watoto na wanafunzi dhidi ya vitendo hivyo sasa imeng'olewa meno kabisa na mkulu

ila ndio ivo huyu jamaa kashalipitisha, ni jukumu letu wazazi tuwachunge wanetu wenyewe tu maana rais hayupo nasi kabsa katika hili
tatizo ni uelewa mdogo au umeamua kujaribu kupotosha?
 
Yani maelezo yote yale ya Mheshimiwa Rais, hilo ndilo hitimisho ulilotoka nalo? Watu wengine sijui huwa wanatumia kitu gani katika kufikiri. Anyway, akili ni nywele
 
jaribu kutoa maoni yako tofauti
wacha kupiga chabo coment za wenzio
 
Back
Top Bottom