Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

If you've ever fallen behind on your bills or watched a friend struggle to make the monthly payment on a credit card, you know how devastating debt can be. Now imagine entire countries in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefungua ukumbi wa kuonyesha Mechi za lingi mbalimbali duniani ,msaada wenu kwenye kuupa jina LA ukumbi ,napendekeza jina liwe LA kuvutia kwa washabiki wa mpira,,
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wasting tax payers money hivi hawana shughuli za kufanya hawa au ndio strategy mpya za wizara ya mambo ya ndani? bendi ya polisi ikiongoza maandamano kuahimisha kuanza kwa wiki ya wanyama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Poleni na Majukumu ya hapa na pale. Ni matumaini yangu kuwa, asilimia kubwa ya members wa JF ni watu wazima kabisa na wanaojielewa. Kwa uelewa wangu, mtu mzima anayejielewa...
7 Reactions
104 Replies
8K Views
Hellow wana JF. Miaka mingi wakati niko mdogo nilikuwa nikisikia kuwa tanzania inamshamba ya ngano..ambayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirikiano kati ya tanzania na Canada.Yalikuwa ni mashamba...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Posted Date::10/9/2007 Waziri ashangazwa miundombinu finyu Lindi Na Said Hassani, Lindi Mwananchi NAIBU WAZIRI wa Kilimo Chakula na Ushirika, Dk David Mathayo, ameshangazwa na miundo mbinu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Czech mate - DNA tests show hospital mixed up babies Fred Attewill and agencies Wednesday October 10, 2007 Guardian Unlimited Two Czech couples are preparing to swap their...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
South Africa's Scorpions unmasked Peter Biles BBC News, Johannesburg http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7035700.stm The Scorpions are the equivalent of the FBI South Africa's...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nasoma hii document kweli nimekuwa excited. Napenda kkushare nanyi pia kwa wale wana mda wa kusoma uhakika watapata chochote humo. Fungua link below. http://emeagwali.info/
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Negative feedback ni muhimu kwa kila system (ikiwemo JF)ili kumaintain balance yake. Nikikusanya maoni mbali mbali yaliyowahikutolewa na baadhi ya members, na summarize kama ifuatavyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Brown loses fight to bar Mugabe from summit Ian Traynor in Brussels Wednesday October 3, 2007 The Guardian Gordon Brown has lost his campaign to prevent President Robert Mugabe from...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu habari zenu, naomba anayefahamu anisaidie ,Nina wadogo zangu wawili mapacha walimaliza kidato cha nne mwaka 2015 ,kulingana na hali yangu ya kipato kuwa ngumu sikuweza kumaliza kulipa ada...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani ee mimi ni mtanzania halisia baba yangu mzawa wa Morogoro, halaf mama yangu mzawa wa Kihagara, Mbinga huko ziwa Nyasa jimbo la gamba Komba. Kifupi mimi imani yangu inakuwa ndogo sana na...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wadau, kwanza niwatakie eid mubaraka wote, Naombeni kujulishwa maduka yanayouza vifaa vya umeme origino katika jiji la Dar, nahitaji vifaa vya umeme kama nyaya, switch, socket breka, kwa kifup...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mwanamume ana miaka takriban 50. Aliniomba ushauri wa jinsi ya kupunguza uzito. Ana kilo 85, lakini kwa urefu wake anahitaji kuwa na uzito wa kilo 70. Je afanyeje kupunguza uzito! Amejaribu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
TULIA SOMA MARAMBILI KABLA YA KU-COMMENT 90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe. Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs...
26 Reactions
247 Replies
61K Views
Hivi karibuni Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017-2018 imepitishwa na Bunge. Kilichomo kwenye Bajeti ni kuwa Mtanzania maskini atatozwa kodi ya barabara ya umiliki wa gari na pikipiki hata...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa mashuleni waendelee na masomo yao, ili kufikia malengo...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Najiuliza JPM ana mwaka Mmoja na Miezi Saba tangu aanze kazi ya urais baada ya baadhi ya Watanzania kumchagua Kwa upande wangu huu mwaka Mmoja na Miezi 7 ya jamaa kuongoza nchi naona kasababisha...
1 Reactions
5 Replies
900 Views
Kama ilivyo hapo juu wakuu, Jumanne next week I will be hitting all possible pavements on my way to Kibiti. Kuna a lot of ABC kwa sasa hasa swala la Usalama. Mimi ni free "lencer" sina cha kuhofia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom