Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuna mwanajeshi aliyechomwa kisu juzi juzi maeneo ya Tungi karibu na shule ya Tungi. Kwa kuwatetea wanafunzi waliotaka kuibiwa na vibaka. Baada ya hapo wakamchoma visu huyo mwanajeshi. Yupo...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
nipo maeneo ya uhindini sehemu moja machangudoa wamejazana na polisi wamefika naona machangudoa wanachangishana hela ili wawape mshiko polisi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau katika pitia pitia yangu mitandaoni nikakutana na habari hii yenye kichwa cha habari hapo juu, eti kwa mujibu wa mtandao wa Ranking Interesting Facts About Africa katika majeshi ya nchi 20...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Habari za muda wakuu. juzi kati nilifanya mchakato wa kutafuta hati ya kusafiria, sasa kuna nyaraka zilihitaji kupigwa muhuri wa mahakama, nilikuwa na nyaraka 11 za kupigwa muhuri, hakimu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo katika mjadala wa bunge uko dodoma ,waziri wa mambo ya ndani, nilisikitishwa kumuona akiwa anachangia mjadala uwo kuhusu vulugu lililotokea kwa polisi kupiga raia uko wilayani temeke, waziri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi nilitizama habari za CloudsTV na kujionea wahitimu wa chuo cha Kilimo SUA walivyoamua kujiajiri kwenye kilimo cha mkono na kuachana na kutembea na vibahasha. Ni jambo linalosikitisha kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu. Namshukuru mungu kwa kunijaalia kujiunga na familia kubwa ya JamiiForums. Nikienda Moja kwa moja katika mada. Nilihitimu Kidato cha sita (hkl) mwaka 2011 lakn matokeo yangu hayakwa...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Habarin waungwana!hivi n benk gan nzur yenye faida ukiweka ela kwa mfanya biashara mdogo wa duka na kuuza machungwa ambayo inakua inakupa riba kutokana na kias chako cha fedha kilichopo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Nimehitajka kwenda Mahenge, Morogoro kwa ishu binafsi. Tafadhali mwenye ufahamu na hayo maeneo naomba kujua muda wa saa 7 mchana nnaweza kupata usafiri kutoka pale Moro mjini kwenda Mahenge...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande jana aliangua kicheko baada ya kuulizwa ni lini atatoa tamko la majaji wanaotuhumiwa katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inside Thailand's Snail Spa where gastropods 'massage' your face with their mucus in $30 acne-fighting facial The 45-minute facial at Chiang Mai's Snail Spa sees six of the mollusks placed on...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vituo vingi vya afya vilivyoingia mkataba na mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa vimekuwa vinalaliwa malipo baada ya kutoa huduma kwa wanachama.Mathalani dawa ya shilingi 20000 NHIF hulipa shilingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam... Naomba msaada wenu wadau...Nimekuwa nikipigiwa simu kwa namba zinazoanzia 0901 656... mara kwa mara, lakini kwa kuwa siielelwi na kwa kuwa nimesikia habari za kutatanisha kuhusu namba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni katika kata ya Goziba kiwani Goziba wilayani Muleba, ambapo taarifa za awali zinasema kuwa umezuka upepo mkali saa nne leo asubuhi, na kuezua nyumba za wafanyabiashara, makaazi, kituo cha...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wandugu, Mtu unapokuwa na kazi au kibarua ni lazima ukiheshimu / uheshimu kazi yako, kwa sababu ndio inayokupa mkate wa kila siku. Kazi ya ukondakta ni kazi kama kazi nyingine, tena...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mkuu wa kituo cha mafuta cha BP, BOB DUDLEY amesema bei ya mafuta inaweza isipande kwa kipindi cha miaka mitatu na nchini UINGEREZA inaweza kushuka hadi chini ya paundi MOJA kwa lita...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu, marafiki na jamaa nimepoteza vyeti vyangu vya taaluma vyote.. Imetokea leo trh 22/01/2015 Morogoro. Tafadhali nisaidie kusambaza ujumbe huu ili atakaeviona anipe taarifa. Nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masomo muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku
0 Reactions
0 Replies
954 Views
MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya Gabriel Kipija (CCM) amekipongeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani humo kujali uhai na afya za wanachi kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom