Hili lina ukweli kwamba kumbe huko nchini Gambia......

Hili lina ukweli kwamba kumbe huko nchini Gambia......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,609
Reaction score
127,988
Inasemekana kuwa duniani kote nchi ya Gambia ndiyo nchi pekee inayoingiza ' Watalii ' wengi wa Kike na nchi kupata ' mapato ' makubwa kutoka kwa Watalii hao kwakuwa wengi wao ( hao Watalii wa Kike ) humiminika huko ( Gambia ) kwenda kufanya mapenzi / kubanduana na Wanaume wa Kigambia ambao inasemekana kwamba ndiyo wenye maumbile makubwa ya Kiume ( Mikuyenge ) kuliko Wanaume wote duniani.

Na kuna Wanawake wengine huenda tu huko nchini Gambia siyo kwa kufanya ' Ngono / Kubanduana ' na hawa Wanaume wa Kigambia bali hupendelea tu kwenda huko na kuwapa ' Hela / Pesa ' hawa Wanaume wa Kigambia kisha na Wao wanawavulia ' Mikuyenge ' yao ambayo kiukweli inasemekana ' imetukuka ' sana Kiukubwa kisha hawa Wanawake ' Watalii ' huiangalia tu na kuifurahia.

Kumbe yawezekana na Sisi Watanzania mmoja mmoja tukawa tunalalamika maisha magumu au ni masikini wa kutupwa wakati kumbe ndani ya Miili yetu tukawa na Vivutio vya kutosha tu kwa Watalii ambavyo labda tukijua kuvitumia na tukiwa ' Wabunifu ' umasikini unaweza kuwa ni ' Historia ' Kwetu.

Je lina ukweli hili? Na kama ni kweli basi haraka bila kuchelewa niseme tu Shikamooni Wanaume wote wa nchini Gambia kwa kubarikiwa kuwa na ' Mikuyenge ' mikubwa kushinda Wanaume wote tuliopo hapa duniani.

Nawasilisha.
 
Kwanini heading za Thread zako zimekaa kama vichwa vya habari ya Magazeti ya Global publishers?.

Au ndivyo ulivyofunzwa katika uandishi wa habari?,au ni katika kutafuta attention kwa kulazimishana?.Una-headings flani hivi za kuvutia usomaji halafu uki-view habari ni ujinga mtupu.Viewers 1000 then comment 50.

Achana na uandishi wa ki-udaku udaku kijana.
 
Inasemekana.......

Ebu endelea na utafiti utuletee mrejesho kamili
 
Suala la Watalii wa kike kufuata mihogo Gambia ni kweli na ni suala la muda mrefu sana... halijaanza jana wala juzi!!

Hadi mashoga walianzisha huo mchezo wa kufuata miguu ya watoto hadi Yahya Jammeh akaweka sheria kali dhidi ya ushoga!!
 
8c89b08a1f16da8eb5da61e0702ef4ca.jpg
images
 
Back
Top Bottom