NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Kama mnavyojua kuwa wapangaji hawana makazi ya Kudumu, na baada ya kufarakana kwa kosa dogo na mwenye Nyumba nimeamua kuhama.
Kwakuwa sijamuibia MTU, wala kudaiwa kwa maana wengine wanadhani nimekimbia madeni, napenda kutoa taarifa rasmi kuwa nimehama.
Nimetokea Mtaa wa KIBO nilipokuwa naishi awali na palipozoeleka na wengi na ninaishi mtaa wa "WANYAMA". Kwa hiyo nawakaribisha sana.