Photocopier ip ni nzuri na economical kwa matumizi ya biashara ya stationary?

Reghia

Senior Member
Sep 29, 2016
126
250
Wadau habari ya asubuhi?
Mwenzenu nategemea kufungua stationery hivi karibuni na namshukuru Mungu nishapata mlango na nishaanza kuufanyia modifications ili ukae kistationary.. lkn changamoto niliokua nayo ni kwenye uchaguzi wa vifaa ambavyo ndio hasa mhimili mkuu wa kazi za kistationary yaan photocopier, printer na computer. Lkn changamoto kubwa iko kwenye photocopier, nmeshindwa kufanya uchaguzi sahihi kwani mimi si mzoefu katika mashine hizi lkn nmekua nikisikia kuwa kuna "all in one photocopier "za canon(2202) na wengine wakasema za hp, na kwa wachache niliowauliza kila mmoja anashauri kutokana na experience yake katka mashine hizo. So nmeshindwa kufanya maamuzi na naomba mawazo yenu wadau.
Ip ni photocopier nzuri na economical kwa kazi za stationery? Na bei yake ikoje?
Lkn pia nategemea kutembelea maonyesho ya sabasaba (Dar) kwa ajili ya kufanya manunuzi ya baadhi ya vifaa vya stationery yangu je ni sehemu sahihi na salama?
Lkn pia naomba mchango wenu wowote juu ya biashara hii mpya ya stationary. Tafadhari wadau naomba maoni yenu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom