Roho ya Utii

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,121
2,000
Yesu Kristo alipofufuka na kuwatokea Wanafunzi wake,Yesu akapaa mbiguni na kuwa ambia Wanafunzi wake kuwa wasifazaike anawaachia Roho Mtakatifu ambaye ataendelea kuwa fundisha yani kuwapa Mafunzo mbalimbali.

Ushuhuda wa ufanyaji kazi Roho Mtakatifu
Leo asubuhi nimeamka nikiwa na hamu sana ya kunywa supu nikatenga Elfu mbili, nikatoka kuelekea wanapo uza supu.

Ghafla nilipo karibia na sehemu wanapo uza supu nikasikia sauti moyoni inaniambia kwanini iyo Elfu mbili usinunue Mihogo au Vitumbua zaidi ya 20 ukale na kufurahi na wenzako, basi hapo hapo nikageuza safari na kwenda kununua vitumbua badala ya supu ivyo tumsikilize Roho Mtakatifu.
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
4,631

Haya mkuu ubarikiwe kwa kuwa na roho ya utii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom