Wavulana wanaowapa mimba wanafunzi wenzao.

Wavulana wanaowapa mimba wanafunzi wenzao.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
26,030
Reaction score
51,321
Najiuliza ni hatua gani zitachukuliwa kwa wavulana walio chini yaUmri wa miaka 18 ambao watathibitika kuwapa mimba wasichana walioko shuleni. Jee na wao wataachishwa masomo ama watazuiwa kutumia majengo ya serikali kwa ajili ya kujiendeleza kielimu?
 
Kaaazi kweli kweli!

Hata JPM angesema wanaopata Mimba waendelee na Masomo ingekuja hoja anachochea Vitendo hivyo
 
Mkuu tusubiri kwanza hao wavulana wawape mimba hao wanafunzi wenzao
 
Mbona sheria zipo wazitu kwamba mtoa mimba na mpokea mimba wote kwenye majengo ya serikali wanabakia kama rejea kwa wale ambao hawajaambukizana mimba?

Kinachotakiwa ni umakini na namna ya watoto kutozini wasibebeshwe walimu bali waachiwe wazazi na viongozi wadini
 
Hii Kitu inabidi iangaliwe upya umekuwa mjadala mpana Sana.
 
Back
Top Bottom