Basi la Mohammed Classic lagonga Ng'ombe 30 Pori la Burigi, Kagera

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
KAGERA: Basi la Kampuni ya Mohammed Classic lagonga Ng'ombe zaidi ya 30 katika barabara inayopita pori la Burigi.

IMG_20170627_130648.jpg


Abiria waliokuwa wakisafiri katika basi hilo linalofanya safari zake za Bukoba kwenda Arusha wamesalimika.

IMG_20170627_130653.jpg
 
Damn,.kitoweo cha bure..sema bora halijaleta madhara kwa abiria.
 
Dreva ameamua kutoa fitiri aliseme bismilah kabla hajawagonga kwaiyo ni kitoweo safi kwa kumalizia Idd
 
poleni waathirika wote,somo hapo juu,traffic waweke alama zitakazowaonya madereva kuwa waangalifu na wanyama,inabidi hizi freeways zetu zijengewe uzio wa waya kuzuia wanyama kuvuka au kukaribia barabara kuu,na always speed kill,ili hii message itawaingia madereva wetu GOD KNOWS.
 
Back
Top Bottom