Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiukweli vitabu karibu vyte vya dini vina pinga sana swala la kuomba omba nasababu ya msingi kuomba hushusha hadhi ya mtu hasa kuomba mitaani kwa mtu ambae humfahamu,lakn kama bnaadamu...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Wafanyakazi takribani 300 wagoma kuendelea na kazi za ujenzi wa Barabara ya Mogele -Turiani wakishinikiza kutekelezwa kwa madai yao ya Malimbikizo ya Madeni tangu 2009, Mikataba ya kazi, pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera, Agustino Ollomi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Kamanda Ulomi alisema juzi majira ya saa 11:30 jioni, mapacha hao walikuwa wakiogelea ziwani katika eneo la...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Maisha ya huko yapoje kwenye miji mikubwa kama Shanghai/ Beijing ukilinganisha na maisha ya miji yetu mikubwa (Dar).
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasambaa Wanamiliki Long Bass Kwa Kulima Hoho,karoti,kabichi Itakuwa Wenye Ardhi Rutuba Kwa Mahindi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jimbo la Tunduru Kaskazini Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma limefanikiwa kuondoa tatizo la madawati kwa shule zake za msingi baada ya mbunge wa jimbo hilo, Mhandisi RAMO MAKANI kutoa madawati 300...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau; Najitokeza tena hapa jukwaani kuleta mada hii ya Sigara. Sigara kwangu ni kero sana kwani huwa sioni wa sihisi (feel) utamu wowote zaidi ya adha. Wavutaji wa hii kitu yawezekana wana...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Wakuu,maisha ni safari,na katika maisha tunakutana na mambo mengi sana, Kama kuna mtu labda uliwahi kumkosea jambo sehemu fulani kama vile,kwenye vyombo vya usafiri,Sokoni,Madukani au sehemu...
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Habarini wadau Naombeni kuuliza hivi thamani ya hivi vitu huwa nani anapanga Bei au huwa wanatoa Bei wapi au huwa serikali huwa na wao ni wauzaji?? Maana naona Siro huwa anasema tumekamata...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kipi n bora kati ya kununua nyumba iliyokamilika (mpya au kwa mtu) na kujenga mwenyewe kuanzia kutafuta kiwanja mpk finishing, maji, umeme,nk? Ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni wadau tujadili hapa umihimu wa kupandisha na kushusha bendera ya taifa hapa nchini ktk ofisi mbalimbali za serikali na ofisi zingine pia.na huu ni mjadala huru.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Eid Mubarak kwa wanajukwaa wote Hakuna mtanzania anayejielewa ambae hamjui mzee wetu Alhasan Mwinyi ambaye anayoheshima kubwa ndani na nje ya nchi yetu hii pendwa Nimepatwa na mfadhaiko mara...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
CUF ina Taasisi za uongozi Kuu ambazo ndizo zenye Maamuzi Makuu katika Chama na Taasisi hizi ni Kama zifuatazo; (1) BARAZA KUU wajumbe 60 - Seifu 55 Lipumba 5 (2) KAMATI YA UTENDAJI TAIFA...
0 Reactions
5 Replies
974 Views
Biashara ni nzuri lakini najiuliza kwa sauti, biashara hii ya maua inafanyika hadi saa saba usiku. Najiuliza zaidi kwamba ni maua tu wanauza au wana kazi nyingine ambayo inawafanya wakeshe pale...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Naamin wazima wakuu, Dunia inaendelea na ipo kasi kweli kweli.. Kama mada inavyosema hapo juu. Ilikuwa mwaka 2007 natokea dar naenda songea ndani ya shabiby enzi hizo, nilikaa seat moja na mdada...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Dodoma. Licha ya kuchimbwa na kugharimu Sh268.9 milioni, kisima kilichopo Kijiji cha Ngomalusambo wilayani Mpanda, hakijawahi kutoa maji. Kisima hicho kilichojengwa kwa miaka miwili kati ya mwaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku mbili tangu kuuawa kwa polisi wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao walikuwa kazini katika kijiji cha Bungu B, hali ya wasiwasi imezidi baada ya wauaji hao kusambaza ujumbe unaoeleza...
4 Reactions
170 Replies
22K Views
DUDE DUDE DUDE Mara limeamshwa Mara kaliamsha dude Nani mwanzilishi wa hili jina na kwanini alilisema na alikuwa anazungumzia nini mpaka akalitamka hili neno DUDE Linavuma sana na wengine...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Tamko la Rais Dr John Magufuli liko sahihi kabisa. Lazima sheria za elimu zilizowekwa kisheria zifuatwe. Hatuwezi kuhalalisha mapenzi shule yaani darasani la kwanza hadi kidato cha sita. Waende...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom