tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Nimeona kipindi hiki kila mtanzania ana mtazamo au mawazo kuanzisha kajitaasisi au foundation na hata NGOs na lengo la kuwa mmiliki wa hiyo organization.
Kuwa na taasisi nyingi zisizo za kiserikali ni jambo zuri kwa mustakabli wa ajira kwa vijana na hata kuongeza wigo wa huduma kwa watanzania.
Nimejaribu kuangalia kwa taasisi za zamani wale waliokuwa ktk management ndiyo wengi sasa wakuu wa Organization mpya zilizoanzishwa lakini zenye malengo na mtazamo kama wa Organization yao ya zamani.
Swali langu kwanini wasomi hawa wasiboreshe taasisi mfano moja ambako wako na ikawa kubwa na kuwa na matawi mikoani na wilaya na hatimaye mpaka vijijini kuliko kujiengua na kuanzisha Organization nyingine?
Ili Africa na Tanzania tuendelee tunahitaji Taasisi zilizo imara na bora.
Karibuni wanabodi