avalanche
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 227
- 234
Haieleweki lengo la manispaa ni kuongeza mapato au kukomoa hawa madereva wanaofanya hii kazi kupitia mtandao wa Uber..
Watu wa jiji acheni mambo ya kizamani na mfanye kazi kisasa, sidhani kama kampuni kubwa kama Uber ingeshindwa kufikia maelewano na mamlaka husika, mnaishia kukamata gari ambazo zinavibali vyote vya biashara, haieleweki lengo lenu ni nini. Mnaturudisha nyuma kwenye zama za kukodi teksi ambazo zilikuwa zinatukadiria nauli kubwa sana. Nimefedheheka sana maana nimeshushwa leo katikati ya safari yangu na watu wa kampuni ya TAMBAZA wanaofanya hii shughuli dhalimu ,nilitakiwa kuwahi appointment.