Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,085
Wakuu habari zenu
Nakerwa sana na haka kajitabia kakishetani ka watu kulalamika kuombwa msaada humu jf,yaani hii tabia imekithiri mpaka mnadiriki kuwataja watu waliowafa kuwaomba msaada shameee!
Kwahiyo mlitaka watu wapeleke wapi matatizo yao ee au jf siyo sehemu ya kusaidiana huu ni ushetani kabisa
Wengine mnadiriki kabisa kusema waziwazi mara oh nimeombwa assist ya dola kadhaa ilimradi tu tujue mnavijisent shameee!
MwanaJF mzoefu kabisa (expert) analalamika eti kaombwa assist ya 1000 shamee!
Mliofungua nyuzi kulalamikia assist mnaroho za kishetani na roho za kihamorapa (kiki) lengo lenu tujue tu ni wa level gani shamee!
Kwa hili mmeikosea sana jf nasema tena mmeikosea sana hii nyumba ya great thinkers
Wanyonge na wenye navyo tuendelee tu na assist tuachane na hawa kina hamorappa